Unakuta wanaume wamejazana wanakula vichips na vikuku vya KFC, hivi huwa mnashiba kweli? Au huwa mnaenda kuuza sura kwa ajili ya kupata picha za Instagram?
Mwanaume anaweza kufika sehemu ya ugenini na asipate tabu ya kuishi kwani akishajipatia binti na akatambulishwa kwao basi hao ndo watakua ndugu zake hata iwe wapi. Yaani utawaacha ndgu zako huko...
Ukitendwa na Mpogoro fulani kwenye Mapenzi
haimaanishi Wapogoro wote ni vimeo, ni mtu
huyohuyo mmoja na matatizo yake..
Ukikutana na Msukuma mwenye Wivu anakufuatilia
hadi harufu ya sabuni...
Kila kabila lina vyakula vyake vya jadi lakini baadhi ya vyakula huwa haviwezi kuliwa na kabila lingine kwa mfano,Wapogoro huwa wanatumia kitu cha Mbewa(panya)kama mboga...je makabila mengine...
Kwa sisi wengine tuliozaliwa mijini tuna mchanganyiko sana wa makabila. Na mara nyingi makabila hayo hayana uhusiano kabisa wala hayatoki kwenye mkoa mmoja. Kuzaliwa mjini kumetusaidia sana kujua...
inawezekana kwa namna moja au mbili kuna kitu au jambo ambalo kila ukikaa huwa unajua katika maisha yako
mimi upande wangu najutia
FANI NILIYOISOMEA KWA MAANA IMESHIDWA KUNIPA AJIRA YA UHAKIKA...
Club ya Arsenal ya England kukesha leo usku, hii ni baada ya kufungwa goli tano kwa moja. Wanakesha kwa sababu ya kusherehekea kufungwa goli moja tu na Liverpool kipindi cha pili . Kwani kipindi...
kwa wale wanaofahamu wadada wa kirangi hebu tuambieni ni kwanini hawa wadada wamekuwa gumzo hapo mjini
je ni kwa sababu ya ule uzulii wao hapa mjini au urembo waoo hebu tupeni siri jamani why...
Wanadar es salaam wenzangu hili joto mnalionaje.jua Ni Kali hakuna mfano.jua Ni Kali laana.jua Kali mpaka ukitembea nje dakika tano tu unaanza kunukia harufu ya mishikaki kwenye ngozi.sasa Mimi...
Kwako rafiki yangu, mdogo wangu chaliifrancisco, ni siku nyingine tena Mwenye enzi Mungu amekujaalia kuongeza mwaka mwingine... Naomba nitumie nafasi hii kukutakia heri ya mfanano wa siku ya...
Uwezo wake wa kufikiri umenifanya nifikirie mara mbilimbilia, anajitahidi sana na ana kipaji kikubwa. Hasa hapo alipozungumzia kuhusu NYUMBU dakika ya 1 hadi 4 nimecheka siku nzima leo.
wakuu mara ya kwanza nasikia dar es salaam.
nilijua ni marufuku kula wali bila nazi.
nilijua kila hatua tano, unabishana na minazi ya kutosha.
Nilijua Minazi ndio ilipelekea nembo ya jiji kuwa...
Huyu ndie anajua siri kubwa ya jamii forum,
Huyu Chuma cha mjerumani,
very funny ananishangaza..
Natafakali sipati majibu, sijui kwa nn?
Nataman Numbisa awe rafik yangu.
Sent using Jamii Forums...
Huu uzi upo chit chat lakini ni uzi serious naomba ieleweke hivyo.
Kuna watu JF wanatumia kama eneo la kubarizi taarifa za hapa na pale. Good. Lakini, unaweza kutumia kama eneo la kutengeneza...
Nililala Usiku nilipoamka Asubuhi nimekuta Nywele zangu za kichwani zimepungua Eneo la Utosini mpaka leo nyele azioti vizuri zinaacha nafa wazi je? Nini tatizo wadau ????
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.