JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Mshana Jr 2. GuDume 3. Mr Miller 4. Hazard fc 5. Humble African Kwa hisani yangu kwa mara ya kwanza nimekutana na mahanshaamy kutoka Jf wengine loooh sura ngumu kama chochoro za...
16 Reactions
743 Replies
36K Views
Nashukuru kupata fursa ya kuishi na fursa ya kupost humu... Haya wajamen pateni fursa ya kucomment kwenye uzi wangu. Tulio fanikiwa kuishi mpaka leo sio ujanja bali ni fursa tu aliyo tupa...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Matatizo yale yale tu madeni yale yale tu sio kusema et mwaka mpya basi maden yataisha au matatizo yataisha.... Hapa wengine ndo kwanzaaa wanawaza kodi za majumba ada za watoto hahahaha kazi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nilikuwa sijafika miaka 6
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Aman kwenu wazazi Leo nimesikitikita sana baada ya kufanya mahesabu kuwa Nina siku ngap dunian toka nizaliwe nimeshangaa sana kukuta Nina siku elf saba tu Nimeshangaa sana nilijua kuwa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
huu ni uzi wa kwanza kwa mwaka mpya 2019, kwa saa za A.Mashariki Nawatakia mwaka 2019 uwe wenye neema na furaha kwenu
11 Reactions
31 Replies
3K Views
Sijui ni kwanini tokea mwaka 2016 hadi 2018 nimepata taabu sana kupata / kupokea ' Mialiko ' ya Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya kama miaka ya huko nyuma. Na bahati nzuri ' Mialiko ' mingi...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ifikapo tu Saa 6 Kamili muda mfupi kutoka hivi sasa nategemea Kutoonekana tena hapa Jamvini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu hivyo GENTAMYCINE Kiungwana kabisa nimeona nichukue fursa hii...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukiwa umebahatika kufika nashukuru Mungu kwa ajili yako Ukisema jana na leo itapendeza Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
0 Reactions
6 Replies
749 Views
Katika kusherehekea mwaka mpya 2019 unaoambatana na kupungua kwa siku zangu za kuwa hapa duniani napenda kudedikati wimbo ulioimbwa na Kisaki Selemani uitwao 'shuhuda'. Uwe maalum kwa marafiki...
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Wewe ungejiteteaje?
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Nimemmiss huyu robot aiseeeh! Ukwapi Invisible jamani? Sema neno moja tu na moyo wangu utapona
4 Reactions
24 Replies
2K Views
TUKUMBUSHANE kununua miswaki mipya mwaka 2019 Wengine humu hamnunui miswaki mipya mpaka uwanguke chooni
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Michezo na Burudani Manara awashtaki Yanga Mamlaka ya mapato’TRA’ December 31, 2018 Chumba-cha-Habari Msemaji wa Klabu ya Simba, ambao pia ni Mabingwa Watetezi, Haji Manara amehoji Mamlaka ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vijana wenzangu binafsi mwaka unaisha hivyo lakini maisha kwangu ni magumu tu sana yani. Kiukweli napambana najitahidi kubana matumizi lakini kamshahara nakopata pamoja na vipesa vidogo vidogo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
WE LIVE IN INTERESTING AND FUNNY TIMES. 1. We live in times where we see many humans, but not humanity; 2. We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna Avatar za watu humu ndani ukiziangalia unawaza hivi huyu mtu alikutwa na nini hadi akaamua kuiweka hii avatar yake. Mimi huwa naangalia ya huyu mtu anajiita RED GIANT nabaki nacheka sana ile...
4 Reactions
79 Replies
5K Views
Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima. Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa (Bachelor) mpaka siku ya kufa kwake. Mwenye...
4 Reactions
8 Replies
911 Views
Hapa nilipo napiga ulanzi kukaribisha mwaka mpya, mana nimekulia kijijin mm sio wa bia. Napenda ulanzi kwa sababu ni mtamu pia ni cheap halafu ni original yangu. Watu wananiona wa hali ya juu ila...
0 Reactions
3 Replies
657 Views
Back
Top Bottom