JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1 Reactions
0 Replies
557 Views
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo. Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Nimehamia kijitonyama juzi jioni. Mke wangu amejifungua mwezi wa sita sasa anatakiwa kurudi kazini. Maeneo haya ya Kijitonyama natafuta Mchawi anilelee mtoto wangu. Maana huwa nasikia wanasema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Indian Telugu, action, comedy and Drama movie. Mimi niseme tu, hakuna waigizaji wazur duniani kama wahindi, Kwani wao uigiza maisha ya kwaida hasa ya majumbani na kuelezea sana jinsi ya kutoa...
1 Reactions
77 Replies
8K Views
*UNAWAKUTA MBWA WANAFANYA MAPENZI WE UNAWAPIGA MAWE UTAFIKIRI PANA EX WAKO PALE* Wivu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu Aiseeh nmekuja dar kutoka mkoani kwa likizo,ni kitambo kidogo sjafika,naona miundo mbinu ya kutosha...heko kwa baba jesca...yaan ile nmeshuka ikabidi nianze mizunguko ya mtaan kwanza...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana . 1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia...
16 Reactions
125 Replies
8K Views
Mvuvi mmoja alikua akiishi na mke wake huku akiwa hajui kama mkewe malaya, Leo hii kamuaga mkewe baada ya kuondka mkewe akaanza kuingiza wanaume kama kawaida Hawara 1; Nakupenda Mke Wa...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadangu. Mwenzenu kuna hiki kilichonikuta kwangu Mimi nakiita kioja tena si kidogo. Labda mnisaidie elimu kidogo hapa. Hivi kuna uwezekano wa mwanamke msagaji kubadilika na kuacha kabisa...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
WALLET YA KIJANA WA MAREKANI 1:Visa Card 2:Driving License 3:Hela ya matumizi WALLET YA KIJANA WA TANZANIA 1:ATM card ya NMB 2:ATM card CRDB 3:Kitambulisho cha Taifa 4:Leseni 5:Kadi ya mpiga kura...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani naombeni kujua ni jina gani zuli linaweza kufaa kwa mtoto wakiume kutumia kwenye facebook litakaloweza kuwapendeza watu Asanten... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
888 Views
kitu gani uliwahi kufanyiwa na mwalimu wako ambacho haikuwa haki kipindi upo shule,niliwahi kulidishwa(kukalilishwa) darasa na mwalimu kwa hila,licha yakuwa nilikuwa nimeshinda vizuri mtihani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP Niombeeni wapendwa. DA Updates Wapendwa nawashukuruni...
4 Reactions
105 Replies
7K Views
Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forum enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum. Najua ni mengi tumejifunza...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
habarin wakuu leo nimewaza kuwaletea uzi wa tofauti ili tu refresh mind huu uzi ni wa kuchangia tofauti na mada inayoongelewa Mfano: arsenali alifungwa goli tano ijapokua hakupata mimba...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku chache tu toka tuuanze mwaka wafanyakazi wa Tigo wapatao 110 wameuanza mwaka vibaya ni wale waliokuwa wanafanya kazi tigo katika ofisi iliyokuwepo Quality Center pugu road waliokuwa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Merry Christmas. Nina kapu la Zawadi kwa ajili ya wana Jf hawa. Kuipata inabidi kuni pm. Bishanga Abashaija Baba V Chimbuvu Nicas Mtei cacico Nifah Madame B charminglady Watu8 Passion Lady...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kama wewe ukiwa mtoto wa kiumeni Asubuhi: unywe chai na maandazi mawili Mchana: ule chips... Usiku: unakula tambi na kulalia hizo hizo tambi, ukiulizwa madai unafanya diet Sasa kwa hali hii si...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Naam Tumesikia kuhusu bongo star search, shilawadu star search na nyingine nyingi ila hatukuwahi kusikia JF Star Search. Leo tuanze kutafuta star wa JF Ipo hivi, wewe utaandika chochote...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom