tunauza na kusambaza
rollers za resits bei poa
kwa walio mikoani tunatuma
contact:0625610343
whatsup:0762289598
Email:suppliesroller@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Maiti moja alikua anasafishwa mara gafla akacheka kwa nguvu sana, wale waoshaji wakaogopa sana. Wakamuuliza: "Sasa unacheka nini? We Si umekufa wewe?? Maiti Akajibu: Si mnanitekenya, Mi staki...
Habari wanajukwaa''
Ni muda sana sijapost kwenye jukwaa hili lakini naombeni leo,
Mimi pia nipate nafasi ya kuwapongeza wanajamiiforums hawa ambao kiukweli wako juu.
Kuanzia majibu yao mpaka...
Ni line ya halotel. Ilikua inawaka kama kawaida ukiwash data.. Lakini ghafla imetoweka kabisa
Nimewasha na kuzima data mara nyingi hiwaki.. Ila mb zipo
Nikiingi kwenye mtumizi ya inta eti mfano Jf...
Shikamooni wakubwa zangu, wadogo zangu na ambao tupo sawa habari zenu?
Mimi kama kijana wa kitanzania mwenye miaka chini ya 30 sioni ata dalili moja ya kuja kufikia ndoto zangu may be kwa sababu...
Kwa kawaida madactar ni wafanyakazi ambao wanaheshimiana sana na kama mkuu wako akikosea hutakiwi kumpinga hapo hapo na hata ukimpinga unatakiwa mwishoni ukubali kuwa hujui na utasoma zaidi...
Ewe Madame B
Madame mtata,
Mangi ndo kaingia jijini mida hii, nipo hapa Malaika Lounge ya CBE....
Njoo tunywe, tule, tuserebuke na mengine yaendelee!!
Ikishindikana leo hatuonani tena.
Karibu...
kama heading inavosema ushawai fanya kitu bila sababu
Mi mpaka sasa naandika huu uzi afu nipo kwa watu na sijui sababu inayonifanya nikae mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,
Kama mnavyojua hii job yetu hii inatupa fursa sana ya kupakia warembo wengi WA rika mbalimbali.
Na kuna wengine wanatuzoea na kutuomba namba za simu ili tuwapeleke sehemu mbalimbali...
Unaanzaje nwaka ukiwa na mambo ya mwa jana, mwaka mpya na mambo mapya bwana. Mnaogopa nini wakati na vitabu vitakatifu vinasema,, "yakale yatapita na tazama yatakuja mapya".
Sent using Jamii...
Heri ya mwaka mpya 2019 wanaCC....
Kichwa cha habari chahusika saana.....
Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2019......
Pia naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.