Lijamaa leo limekutana na demu njiani likaomba namba ya simu likapewa feki namba yaani namba ya mwanaume ( Mimi).
Mara paap lijamaa linatuma text njoo hapa guest, nimeshachukua chumba kabisa...
mimi Pancho kama invyojulikana mishe zangu za usiku.. kazi zetu ma dj 's kurudi maghetoni ni usiku sana.. so Jana nimetoka hapo pescana pub maeneo ya uzunguni njiani kama kawaida mapoti na difenda...
Tendo la Kujamba halipashwi kuwa au kuonekana ni la aibu kwani ni sehemu ya Kuutengeneza mfumo wako mzima wa Mwili ili ukae vyema hivyo ukimwona Binadamu anaona aibu / haya Kujamba mbele za Watu...
Tamko lake limenikumbusha kuwa cocacola walianza mchakato wa kutengeneza soda zao kwa kutumia ule mmea pendwa toka Mara na mikoa ya kanda ya ziwa victoria.
Nimemwangalia kama mara 10 naona kama...
CHADEMA baada ya kikao hiki cha Bunge...
Posted 2nd July, 2011
Viongozi wawili wa CHADEMA, maarufu na wenye hadhi, ama wataachia ngazi wenyewe na kujiunga chama kingine ama watavuliwa madaraka...
#
Nyie Watu Wa Mjini... Hii Tabia Ya Kuja Kijijini Kwa Ajili Ya Sikukuu Mnakuja Na Sukari Kilo 02, Unga Wa Ngano Kilo 03, Pilipili Kopo 03, Sabuni Miche 02, Tomato Sauce Kopo 04 Kisha Mnakaa...
Yesterday my friends dropped by my place without warning for a cup of tea.
The wife pulled me aside & said, "There's no sugar in the house, how can I serve tea?"[emoji142]
I winked at her & said...
Intellijensia.
Angalia documentaries za mauaji historia, ujasusi andaa notice zipangilie njoo tuandikie. Unaweza kwenda mbali kwa kusoma vitabu na maandiko ya watu waliofanyia utafiti wa kina...
Nipo kwenye group la sekondari. Kwenye hili hakuna kabisa cha maana zaidi ya vichekesho visivyochekesha. Sijui wao wanaona vinachekesha. Hapa nimetika kusoma kichekesho kibovu sana. Angekuwa...
Humu JF hasa members wa MMU kumekuwa na members wa kudumu, ambao ID zao ni maarufu sana.
Tunajuana humu JF hasa hasa. huko nje hapana na ndio maana humu watu huongea free kabisa tofauti na social...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.