Wale Raia wa mitaani ambao kila siku tunakula kachori kumi ikiwa Ni sawa na viazi kumi sawa na chipsi sahani moja kwa buku tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajijua Wewe huwa ' Unachukiwa ' kwa Kusema ukweli hasa katika mambo mbalimbali yahusuyo Siasa, Uchumi na Kijamii tafadhali jiorodheshe hapa Jamvini ili nikujue kwani nina mpango kabambe wa...
Husika hapo juu, mathalani nimeingia lodge usiku wa saa 8 hivi, je kisheria natakiwa kutoka baada ya masaa mangapi!?
Wazee wa totoz hawa wenye lodge nahisi wanatuonea.
Sent using Jamii Forums...
Naitwa Saidi kobelo nipo kijijini TULIANI wilaya ya Handeni natafuta mke umri isiwe zaidi ya miaka 35 awe muislamu mwenye swala tano mwenye elimu ya mahusiano awe tayari kufanyakazi kwaajili ya...
Jamani waungwana wekendi nimeingia tabora, mwenye kuijua anielekeze wapi nikale bata na nitapata viburudisho au mambo yetu yaleeee mana nasikia kuna vichotara vyakutosha..nielekezeni jamani
Salamuni...
Tukielekea kwenye maandalizi ya Sikukuu za mwisho wa mwaka... ambazo wale wenzangu na mimi tunaolipa kodi kupitia manywaji zinatuhusu... hebu sogeeni hapa tuwekane sawa kidogo...
Are you in a relationship, married, divorced or single & available?
Use numbers to reply with your current status
1. In a relationship
2. Single
3. Married
4. Divorced
Someone might...
Unajua wanawake wengi sasa hivi wanalalamika wanaume tuna vibamia na hatuwalizishi, sasa kwani nyie mnahitaji tuwe tunashiriki tendo la ndoa kama mashindano na sio starehe ilhari ni kitu cha...
Habari ya weekend wana Jf,.
Waswahili huwa tuna msemo mmoja eti 'ukweli unauma'... Kwamba ukiongea jambo ukaona mhusika amekasirika basi hilo jambo ni la kweli. Mimi nakataa jamani jambo la...
Nianze kwa kuwapa pole wana JF wenzangu kwa majukumu ya kila siku, napenda kusema tuendelee kupambana na hali zetu pasipo kukata tamaa.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutuoa yale ya moyoni. Tupo...
Haya haya Watanzania ' hala hala ' tunapoenda Kujipumzisha sasa ( Usiku huu ) hebu tukumbuke Kuzima Simu zetu au Kufuta kabisa Meseji zetu zote tulizochati leo kwani ule muda wa Mwenzetu mmoja...
Wadada wenye makalio madogo msiogee sabuni za Rungu maaana inaweza kuyatoa ikijua ni chunusi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa macho yangu ya haraka haraka tu leo hii hapa nje nikisubiri mzigo wangu utie timu nimekutana na washkaji kama sita na wanaume wa makamo kama watatu hivi wakiwa njiani kuelekea kwa fundi hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.