Sikujui dada huwa nakusoma tu humu...lakini nikiri wazi kuwa uzi wako wa stori yako ya kupanda mlima kilimanjaro umenibadili sana mtazamo kuhusu maisha dada,ubarikiwe sana.
Nimeweka dhamiri ya...
Wajapan wana majina amaizing sana ukiyaleta kwa kiswahili..
Tupia yenu mnayoyajua..
Kuna huyu babu yenu anaitwa Holly Shit
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Aman iwe nanyi wapendwa
Hakuna kitu nakipenda kama uzima Wa afya na akili timamu. Nina muomba sana aliye juu asaidie mwaka kesho nifikishe miaka yangu 22 nikiwa mzima Wa afya njema
Toka nikiwa...
Katika kizazi chetu hichi wanaume tunapitia changamoto ya kupambana na yafuatayo.
1. Filters
2. Make up excessive use of makeup.
3. Beautyplus and 360 cameras
4. Artificial hair
Kupata mke...
Hii hapa ni takwimu ilyofanywa na wadau mara baada ya msimu wa siku kuu za krismasi na mwaka mpya kumalizika.
Pale ambapo wadau hawakufika kufanya utafiti ni kutokana ufinyu wa bajeti.
IRINGA...
poleni na majukumu wakuu
saizi nimekaa natafakari juu ya watu wanapost pumba jf akina ndege John, zero iq na kisandu junior nimegundua kua mimi nafaa kua Mwenyekiti wao kwa sababu zifuatazo...
Mimi binafsi nina miaka 30 lakini dah nachomiliki ni hii smartphone nikiwaona vijana wenzangu wengi wapo chini ya umri wangu na wengine wameshatoboa sina assets yoyote kama kiwanja n.k kibarua...
Kiufupi Wengi Humu Hatujuani.
Najaribu Kuvuta Picha Tu Baadhi Ya Member Humu WaTafananaje Siku Nikikutana Nao.
1. The Bold
Huyu Jamaa Kwa Story Zake Humu Jf Nahisi Ni Mshikaji Tu wala Siyo Mtu...
Mwaka 1971, Mfungwa Gerald mayo alifungua kesi dhidi ya shetani na watumishi wake. Kesi yenye jina Gerald mayo v satani and his staff, na namba 54 F.R.D 282 (w.d.p.a1971). Mlalamikaji alikuwa...
Whats up fam ?
Asee nimeshindwa wakuu niliweza kipindi kile when i was so broke ndo nlkua sichagui ilimradi nikojoe tu [emoji23][emoji23].
Hawa slay queen wa fb na IG anapiga picha wamebidua...
Sinilipita mitaa ya ungalimited chuga basi bwana mambo yalikuwa kama hivi...
Si te pido un beso, ven, dámelo
Yo sé que estás pensándolo
Llevo tiempo intentándolo
Mami, esto es dando y...
Punjabi: I want to Divorce my Wife.
Lawyer On what Grounds.?
Punjabi : She's out all Night, every Night, going from Bar to Bar.
Lawyer : Are you saying she's an Alcoholic or do you think...
Shule huwa kuna wanafunzi wanapga muscle ama msuli mreeefu hawa jamaa sijui na huku jamii forums wako asee kama mpo naomba mnyooshe mikono juu afu mfanye kama mnajikuna vilee
Kama uzi unavyojieleza,utumiaji wa internet umeshamiri sana siku hizi,hivi kwamba hata uwezo wetu tu wa kufikiria na kupambanua mambo umekuwa kiduchu,na kwa sababu ya uwepo wa google watu...
wakuu Leo nawaletea faida za kuishi dar mtaongezea za kwenu pia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Faida ya Kuwa Dar-es-salaam
Rais anaapishwa Dar
Ikulu ipo Dar
Magorofa marefu yapo Dar
Magari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.