Asalam Aleikum warramatullah Taala wabarakatuh. Kwa wale wakristo ni Seme Bwana Yesu asifiwe.
Nasikitishwa sana na matukio ya kigaidi ambayo yanakua yanahusishwa na Uislamu moja kwa moja. Growing...
Hii tafiti nimeiona kwa wengi. Wazaliwa wengi hasa wale waliokuta nyumba za familia hawamiliki mijengo. Wengine waliojisogeza wanamiliki kiwanja lakini kujenga anasubiri kikokotoo.
Wale wa kuja...
Hapa naamnisha, tukiwa wadogo kuna maisha fulan tulikuwa tunayapitia Na kufanya matukio mbali mbali bila kujitambua vizuri. Sasa inapofikia umri wa ukubwan mnajikuta mmekaa Na watu tajwa kweny...
Nahitaji chumba cha kupanga almaarufu kama GETO Kibaha mjini.
Kikipatikana maeneo ya Maili moja itapendeza zaidi.
Kiwe na huduma muhimu kama umeme, maji(hata yakiwa kwa upatikanaji wa kuchota...
Ndo maana Kuna msemo unasema hueleweki Kama mvua za dar.hali ya hewa ya Leo huwezi kuamini Kama Jana tu palikuwa na jua sio la ulimwengu huu,ghafla Leo pamepoa Sana utasema tupo kuzimuni.kimya...
Wakuu kwema?
Wakuu hivi kwanini whatssap yangu hata sms niache ziingie vipi lakini hazizidi 999?
Mfano nikiwasha data zikiingia sms itanijuza unread messages ni 999...nkipiga off data nikija...
Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa...
PROFESA MMOJA ALIWAAMBIA WANAFUNZI
WAKE KAZI YA UDAKTARI INAHITAJI kutokuwa
na kinyaa na umakini KISHA AKAINGZA
KIDOLE MATAKONI MWA MAITI AKALAMBA
akawaamuru nao wafanye hivyo WAKAFANYA
kisha...
Hii kauli kila nikiifikiria nacheka sana.inanisaidia pale ninapoamua kushit vitu fulani fulani mfano demu kaniomba hela namchana live kabisa hata simwogopi kwamba pambana na hali yako.sasa swali...
Kupitia uzi huu unakaribishwa kuandika chochote kinachokutia hofu. Na wale ambao wamewahi kukumbana na hiyo hali wakatoka salama wanaweza kukusaidia kuikabili.
LET'S TALK PHOBIAS !!!
What are...
Nasikia eti nyumba ni Mali isiyo hamishika, juzi nimepita sehemu kando ya barara nimekuta baadhi ya nyumba wameweka [X] halafu wakaandika ONDOA, sasa sijui jamaa wataipeleka wapi.
Sent using...
Mie napendelea kwenda Tripple B Goba...
Sababu kuu ni wahudumu wenye makalio makubwa
Taja baa zingine zenye sifa kama hizo mjini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari jf,
Hii ni list yenye wanawake wabaya zaidi Tanzania, huwezi tamani hata awe mke wako.
Unakaribishwa kukosoa bila povu lolote.
1. Warangi- wanapatikana wilaya ya kondoa, mkoa Dodoma.
2...
Vile vipindi vya Pwagu na Pwaguzi viliishia wapi?
Vilikuwa vinaburudisha na kufunza. Wale wazee walikuwa mahiri kweli.
Mimi nakumbuka kisa kimoja hiki:
"Pwagu alimshitaki Pwaguzi kuwa alimrembea...
Kwanini msababishie adha ya bure kondakta.kila Mara awe anasema tu Rudi nyuma Rudi nyuma.ukiingia kwenye gari rudi nyuma kweli sio unakaa mlangoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.