Baada ya Kujifunza lugha ya malkia nimefanikiwa kuiva kabisa,Angalieni navyoongea"You know sometimes circumstance issues,Specimen and Couldn't I speak it?Wouldn't she?Pharmacy me!Wife...
Hapa tutakuwa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Mshana Jr kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua...
Leo natimiza miaka 32 tangu niletwe Duniani.Nimemshukuru mama Sana Kwa kila kitu.Lakini pia namshukuru Mungu Kwa kunipa uhai na pumzi bure.Changamoto za maisha napambana nazo pia kutafuta mkate na...
Nani alikuwepo pale TAM ZEE enzi ya huyo mzee kipindi ndio head master..!!?? kuna mikasa tulikutana nayo ikiwemo mimi mwenyewe kukimbizwa toka ofisini kwake mpaka navuka barabara ya umoja wa...
Wakuu habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kumfahamu huyu huyu SAMEER RAO wa ukurasa wa jamiiforums Facebook ni Nani?...
Msingi wa kutaka kumfahamu ni
kwasababu hakuna...
Nipo kwenye mkakati wa kuyafungulia mashtaka haya makampuni mawili ya Fedha kwa kuniibia MB bila ridhaa yangu maana kila nikiwasha data, wananijazia matangazo yao tena yana-play automatic hivyo...
Sijui ni kwanini nimekuwa ni ' Mtu ' mwenye Huruma sana na ' Mtu ' mwenye Kusahau yale ' mabaya ' yote niliyotendewa na Watu mbalimbali. Na kuna ' Mtu ' mmoja pia aliwahi kuniambia ya kwamba Wema...
Aman iwe juu yenu wapendwa katika bwana
Nimesikitika sana Leo baada ya kuona maandiko yanatimia
Shetan hupenda sana anasa walevi, wazinsi, wauaji wote wake
Shetan ameamua kupak bus kwenye Uzi...
Jaribu kufikiria mala mbili mbili tena kwa umakini...
Kwa nini kitu fulan unacho jarbu kufanya hakifanikiwi..?
Kwann uliutumia usichana wako vibaya?
Kwann huna mume hadi sasa na ni rika la...
Nilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.
Nilikuja kuona amecomment kwa...
Daktari amshauri mgonjwa kula chapati tu
Baada ya vipimo & majibu, daktari akamshauri mgonjwa kuanzial siku hiyo chakula chake kitakuwa ni chapati tu.......
Baada ya ngonjwa kusikia hivyo...
Aisee kutokana na ile hard talk kwa ndugu yetu TL, inaonyesha wazi kuna asilimia fulani ya watu kupungua kwa wanamuunga mkono.
Kwani kunavitu alivijibu kishabiki badala ya kusema kweli, moja ya...
Yaani Sasa hivi maada imenitoka kuna kitu nilikuwa nakiwaza nikasema nikawashirikishe Wana jf wana chitchat,Cha ajabu kimenitoka kichwani yaani hata sio muda mrefu Ni Sasa hivi sasa hivi...
Mademu mnazingua Sana mtu unatumiwa pesa badala ya kusema Asante we unaniandikia meseji eti tantee.ujinga mtupu,wizi mtupu.kwanini usiseme asante.unapewa pole unaumwa badala ya kusema Asante...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.