JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hata kama vyuma vimekaza lakini kula bata muhimu Tarehe 10 ya mwezi nataka kwenda Tanga kutembea je nisehemu ipi nzuri katika Jiji la Tanga nataka kwenda kula bata na familia yangu.
2 Reactions
36 Replies
13K Views
Wale ambao tunasubiri mualiko wa Xmas tukutane hapa.
0 Reactions
4 Replies
542 Views
ambao hatujanunuliwa nguo za skukuu na baba zetu tukutane apa.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Sijawahi kuona pilau ya bguruwe, hii combination kuna aliyeijaribu?
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya mambo yameshakuwa kama ni sheria, mfano chai na chapati mbili
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo ninapanda bodaboda jamaa anasema JANA ALINUSURIKA AJALI KUBWA SANA KISA UZEMBE WAKE MWENYEWE. mimi;(huku mapigo ya moyo yakienda kasi)NISHUSHE PALE MBELE Bro...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukiwa na hela siku inaweza isha hujala chochote na huisi njaaa... Ukiwa na hela unaweza muita dem yoyote mkali kitaa kwa kujiamini na ukatoa madini yako kidogo tu pesa itamaliza kila kitu. Ukiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Engineer somaaa iyo
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Deleted
0 Reactions
5 Replies
843 Views
[emoji313][emoji313][emoji313]
0 Reactions
4 Replies
551 Views
Kwa mzungu kule segerea ipo wapi nataka kwenda kuogelea na kucheza mziki
0 Reactions
9 Replies
2K Views
leo majira ya saa 2 na nusu usiku pale kwa sokota temeke niliagiza chipsi na mayai mawili na soda ya pepsi ya baridi lakini nimeshindwa kumaliza kula mpaka nimeona jau.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Mama yangu ni mtu mzima na ameshaozesha watoto wake kadhaa wakike kwa wakiume ikiwa ni pamoja na watoto wake wa kuwazaa, watoto wengine wa ndugu zake na wengine tu aliyowalea Siku zote dada zetu...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Alipewa shilingi mbili(coins) aende kununua maziwa.. Njiani akakuta watoto wenzake wanaokota mawe na kuyarusha kwa nia ya kuapopoa shorwe(aina ya ndege). Naye (Yohana),akaamua kupopoa ndege...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Naanza kwa kuwasalimia wote na kuwatakia kheri ys Chrismass na mwaka mpya ,nikirejea maada tajwa hapo juu Nikwamba juzi ulikua ukifungua thread yoyote unakutana na vimaua ( gift ) vinaanzia chini...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Mkifika huko wekeni usistaduu wenu pembeni.. Ukifika we sio careen tena..ni atupakisye au atupele Ni manka au Haika[emoji23][emoji23] Ni maoni tu Bufa
1 Reactions
7 Replies
542 Views
Kama una boyfriend/mchumba/mpenzi ambaye ukimuomba 10000 au laki inakuwa Ni msala,atakuzungusha mpaka udate.na akikupa huenda yeye kule akawa anajipiga makofi mixer kukumwagia laana..swali je Ni...
1 Reactions
2 Replies
598 Views
Mpaka sasa ngoma imeshamlalia admini. Mpaka kesho naona adimin ataachiwa kipopo cha x-mass na mwaka mpya. Kuelekea 2019, hatupendagi ujinga sisi. Nawasilisha
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Habarini. Leo nimepita Makongo Secondary School na kuona lile DCM lao likiwa limepaki pale nje. Limenikumbusha mbali sana miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000s. Lilikuwa likitusomba...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom