JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Salaam wakuu, Nipo hapa ubungo sahizi kwenye Osaka nasubiri kucommence safari yangu ya kwenda chuga, aisee abiria ni wengi laana. Nafkiri baadae ntakuepo maeneo ya njooy pale sakina tukutane wadau...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa ambao tuna taraji kuwa baba kijacho na Mama kijacho tungependa kuchagua jina zuri la mtoto wa kike na wa kiume. karibuni aeiou
8 Reactions
218 Replies
35K Views
1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
kama wewe ni wanaume wa kweli na haujawai kumkwepa konda ili usilipe nauli basi wewe ni wife material kabisa
1 Reactions
10 Replies
936 Views
Za jioni. Kwa kweli lazima nikiri siku tatu hizi yaani juzi, jana na leo foleni Dar zipo ila zinatembea. Kuna trafiki tulimuuliza kiutani akasema gari zimepungua barabarani hivyo kusababisa foleni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii naiita Starter. ..unakuta una katabia flani au mtu ana katabia flan alafu mnaongea polepole kumbe mhusika anakusikia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Ifm 2. Udom 3. Dit 4. Mzumbe 5.sua vingine mtaniwia radhi, subirini 2015.
1 Reactions
130 Replies
23K Views
nina furaha kubwa kuwakaribisha wanachama wenzangu wa chaputa kwenye sherehe ambayo inafanyika leo nyumbani nimetimiza miaka tisa (9) tangu nianze punyeto karibuni wanachama wezangu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
nimemaliza form four mwaka huu apa bado nasubiri majibu ila nataka kuoa sitaki kwenda form five nataka kujiajili
0 Reactions
13 Replies
937 Views
Kama uzi unavyojieleza kipindi hiki cha sikukuu mkumbuke, Mtumie Salam .Rafiki, Ndugu, Jamaa
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Saa 2:50 ASUBUHI JUMAPILI HIYO bado umelala yaaani umepitiwa fofofo😴 Gafla unashtuka usingizin😳😳 mamaaaaa ni saa 2:50 asubuhi umechelewa kanisani😰😰 unakurupuka unaenda bafuni kuoga na kupiga...
0 Reactions
8 Replies
933 Views
ivi najiulizaga kwa nini napata views chache wasap ,awajawahi kuzidi ishirini japo nna contacts zaidi ya 200 awanipendi sijui
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa wew uliyechoka kidogo siku ya leo kama mimi na huna usemi mwing leo, Kabla hujalala watch video song ya lugha ngeni...na fanya kuangalia picha
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Voni Zelewiski.......Nyundo Jenerali Mayunga.....Mti Mkavu Haile Selassie......... Simba wa Yuda Mwinyi.............Mzee ruksa Nyerere........Baba wa Taifa Jomo kenyata.......Mkuki uwakao NA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
*BAD NEWS* Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Chukwani leo, wasichana wawili walichukua tax toka Darajani kuelekea Chukwani basi mara dereva akahisi harufu kali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maku nasa,weji ndumku wewe... Yani zimwe wa Miku na limbi liha doba yamba,rabiasha ndi azi e.Ka unata tuwa je tuishi. Ni she ta wewe,Au kocho wewe
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Namekumbuka kiki ya "ITAPENDEZA" ilishika balaa mwisho imepotea kama yote Jazia nawe kiki zilipita
0 Reactions
1 Replies
466 Views
1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu 8. Juice - sharubati...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mapenzi hayazuiliki na kamwe huwezi kuyaficha. Usiku wa leo umekuwa ni usiku ambao nimeota ndoto nyingi ambazo zinabeba uhalisia wa maisha yangu kwa kiasi kikubwa. Moja wapo ni hii ambayo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau hawa mademu au Malaya wa mtandaoni wamenipiga Leo hakiyanani nimejidai kuwatumia hela ili aje anifate mahali by the way npo makumbusho afu yy anadai yupo kigogo so anaweza kuja ila sharti...
5 Reactions
97 Replies
19K Views
Back
Top Bottom