JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Rha ujipe mwenyewe
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Wasio Afiki Waseme Siooo
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Kama masihara vile lakini ndio hivyo tena, Muda ahusubiri mtu, unasonga mbele kwa mbele kama ccm. Mipango ilikwenda sawa? Nani alikuwa mchawi wako? Au mambo ni vuluvulu?? Tupeane faraja...
1 Reactions
7 Replies
859 Views
Ndugu zangu mniombee shetani ashindwe wameleta beki 3 mupyaaaaa [emoji3][emoji3]
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Asante JF mmetuma vimulimuli vya Xmas na mwaka mpya kwa hali yangu sitegemei kununua mti wala taa za vumulimuli. N awaza ada za watoto hadi presha inashuka. ASANTE JAMIIFORUMS.
2 Reactions
5 Replies
717 Views
Igweeeeeee kiukweli hii sauti ishanikosha sana, ni dada gani huyu mwenye sauti tamu namna hii ambayo huweza kumtoa nyoka pangoni kwa asilimia kubwa ya wakwale wa jiji hasa tunapokua ndani ya basi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
N.B: USIFANYE KWA MAGAZIJUTO; 1- Chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5 2- Chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7 3- Zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata 4- Jumlisha kwa 13 katika...
0 Reactions
139 Replies
17K Views
MADA MEZANI!! Hivi utafanyaje pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi ukasikia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Husika Na maelezo hapo juu mm nikijana Wa kiume32 nimejiajiri,naitaji mpenzi atakaye kuwa Mke Wa pili asiwe Na Mtoto,awe amejiajiri ,dini yoyote pia awe anamiaka 25...pia asiwe msiri ktk mambo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
CC Maxence Melo | Nyani Ngabu | ISIS | Erythrocyte
2 Reactions
23 Replies
2K Views
napenda sana chipsi mayai kwa kweli tamu sana asa ukishushia mirinda nyeusi.
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni kinaja wa miaka 29 naishi arusha tz najishuhulisha na kazi za kitalii sasa naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzi miaka 18 hadi 26 na nipo siriasi kwelikweli na alie tayari unaweza nifata...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nyie wachungaji ambao mnatoa huduma ya maombezi Kwanini msiponyeshe watu wanaoumwa Kama mnajisifu mna tumia nguvu ya yesu.maana ishu hapa Sio kufanya miujiza hata farao na watu wake walifanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini...
19 Reactions
131 Replies
7K Views
Karibuni tupeane nini cha kutizama hapaa....
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Shunie Madam b Mzigua Mama Sabrina Carinah Espy Eskylat Nahuja , my bff Na wengineo Wanawake tunaweza
10 Reactions
126 Replies
6K Views
Kusema kweli msimu huu wa sikukuu sitatoa ata mia yangu kwa ajiri ya kumnunulia demu nguo ya kuvaa au mazaga mengine, Bajeti yangu mwaka huu ni kwa wazee wangu tu (baba na mama),pamoja na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Msanii wa Music Diamond Platinumz almaarufu Diamond azuiliwa airport kwa sababu ya kuchelewa kufika airport. We una mawazo gani kwa hili?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haya sasa christmas nimeambiwa tuende mkoa mi sijawahi kukaa nje ya dar mida kama hii.nitawezaje kukaa mbali na demu wangu wahuni sio watu mara wakamgonga itakuaje sa mkoani hata nikienda ile...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
habari mrembo wa jf Khantwe i hope u mzima wa afya, dhumuni la post hii ni.kukuomba ubadilishe avatar maana kila nkiangalia avatar yako naenda kujilipua koo nakuomba ubadilishe avatar maana...
1 Reactions
74 Replies
3K Views
Back
Top Bottom