Jamani hii ni hatari sana jamaa anaendesha malori ya kwenda Kitwe Zambia kule kwa mgana ambao jana wameichapa simba .sasa huyu jamaa ameoa kule mjini tanga kule muheza katoto kazuri sana .sasa...
Nimebahatika niseme hivyo kuangalia na kusikiliza interview aliyofanya Benjamin na Millard Ayo...nimesikia aibu sana..na laiti ningekua rais wa nchi hii sidhani kama ingepita siku mbili sijamuita...
Umeme umekatika.. Nlikua nasomasoma jf ghafla nahisi kitu mguuni akapenya anaingia ndani ya suruali.. Kama sio kujikunguta kwa nguvu sijui ingekuaje
Ana spidi kali
Hapa nkiguswa na mu naruka
Na...
1.Kwenda haja kubwa ni shilingi 500
2.Kwenda haji ndogo ni shilingi 300
3.Kuoga ni shilingi 500
4.Kwenda haja kubwa na ndogo kwa wakati mmoja ni 600
5.Kuharisha uje na maji yako mwenywe...
Haruna moshi bobani ndani ,wanayanga tujiliwaze maana kombe letu naliona linarudi jangwani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Hivi haruna moshi bobani ana umri gani wandugu zangu wa kijiwe...
Nimepamisi kweli moshi town.. Maeneo ya malindi karibu na voda shop ya zaman... Ukisogea mpaka karibu na kanisa la Roman Catholic (kristo mfalme)
Bila kusahau club diamond
Daah wachaga +wairaq...
Habari za usiku wakuu..
Napenda kuwajulisha ndugu zanguni wa mkoa wa Kigoma kwamba nitakua mgeni wenu mda simrefu kwa ajili ya kuja kufata mzigo wangu.
Kikubwa nawaomba muje munipe ushirikiano...
Habari waungwana hebu tushare hili.
Ulimpataje mpenzi wako wa kwanza?
Ulikuwa na umri gani ?
Me mpenzi wangu wa kwanza nilimpata nikiwa form one akiitwa pendo , yeye akisoma la saba...
Tamko la kuweka ndani mashoga liliwaudhi sana nchi zilizoendelea, kule tunakopeleka bakuli ili tupate chenga za kupikia uji maisha yaendelee, wana heshima sana haki za binadamu.
Kitendo cha...
Mfumo wa maisha ndio upo hivyo.wewe Ni Kama kifaa Fulani mfano computer ambacho kina uwezo wa ku save data zote.kwa hiyo ndio maana Kuna matukio uliyafanya zamani lakini bado yanazunguka akilini...
Kiukweli humu masela wana fiksi sana... yaani humu kila mdau ana gari, ana nyumba, ana kazi nzuri, mixer kidhungu anakijua.... Lakini ukweli wa maisha yao ni kituko tuu..
sasa Mimi pancho Boy...
Mimi nitaanza na huyu mtoto
Lyn Vivac
Ulijing'ata ukainama
First time tunakutana /
Vitisho, mikwara ya mama
ulisonga hukujali ya jana /
Ukanambia unaitwa L.V
Ukawa mod ndani ya moyo...
Kama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa...
Habari za jioni Wakuu.
Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua...
Wasalaam ndugu zangu wa JF. Aise ndugu zangu wa jf mwenzenu leo Mwenyezi Mungu kanijalia nimekamilisha miaka 25.
Fanyeni kunitakia kila la kheri katika maisha haya.
"HAPPY BIRTHDAY TO ME"
king...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.