JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa. Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba. Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta. Khaaaa!!
4 Reactions
169 Replies
9K Views
Watu wa Dar. wameisha anza kufika Moshi
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ni mimi nayepitia haya au kuna wenzangu?
8 Reactions
180 Replies
7K Views
Waah Gwan Rasta
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukikuta kinadada wawili wanapiga umbea. Dada Mmoja mrefu mwingine mfupi. Iwe isiwe aliyeanzisha huo umbea ni cha-ufupi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Narudia tena airtel TANZANIA nyie ni wapuuzi na mnafaa kupigwa vita kwa ujinga mnaotufanyia wateja wenu!!.. Haiwezekani hela yangu mateso mnipe nyie mafala, na mnanitumia sms nipige huduma kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
MAMA NA BABA MAMA: anakupenda mpaka ukimtazama machoni unauona upendo wake. BABA: anakupenda bila kuonesha dalili yoyote machoni. MAMA: amekutambulisha duniani. BABA: ameitambulisha dunia kwako...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi mtu unaweza kunywa pombe, na kusahau njia ya ya kurudi kwenu. Au uanguke njiani na kupoteza mwelekeo. Unafikia mpaka kulala fofofoo njiani, hii inawezekana kweli au makusudi. Wana lao jambo...
5 Reactions
252 Replies
22K Views
Yaan toka nimetoa uzi wa classmate sasa kila mtu kwake ni classmate kwa lazima [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Moshi Moshi - What Does It Mean?
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini? Wengi unawakuta Instagram na FB. Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote...
20 Reactions
247 Replies
15K Views
Kwanini Mzungu akinywa Soda au Juice na hata Chakula chochote utaona Kile Kinywaji hakimalizii chote atakibakisha kidogo na hata Chakula pia kuna ' mabaki mabaki ' yatabaki katika Sahani ila kwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanawake/ Wanaume wenye wapenz zaidi ya mmoja mnawezaje kugawa muda wenu?,Mimi mmoja tu huwa naona kero.
6 Reactions
115 Replies
6K Views
Kila siku huwa nawaambieni kuwa kwa Mwanaume na Mwanamke makini nchini Tanzania na mwenye ' akili ' sawasawa ambazo zinamtosha kamwe hawezi Kukubali Kuoa / Kuolewa na Wanaume / Wanawake kutoka...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu nauliza hivo ili nijue tu kwa nia njema. Mwenye ujuzi anifahamishe maana kuna dem nkimpgia anadai mawasiliano yetu anayasikia ex wake[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] !!!!!
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Aisee natafuta zile chimbo muhimu kama unavojua sie wanaume ukiw mgeni sehem wanazijua chimbo mnielekeze bas mbali n CDA ama Uhindini pale zngine zko maeneo gan za mchana tu yaan Guest bubu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa Newton Makatale SUMBAWANGA THE TRUST TOWN.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Dah wakuuu baada ya mda mrefu kunyimwa na shemeji yenu kiponyi manyoya a.k.a kitumbua mpaka kuleta malalamiko Jf leo kanipa nimgegede dah kumbe mwanamke mjamzito mtamu hivi kitu yamoto. Starehe...
3 Reactions
17 Replies
6K Views
Mchaga Na Mganga Mchaga; Maganga Nimekuja Kwako Naugonjwa Kutosikia Radha Kitu Chochote Mapema Mganga; Usijaliumefika Lipia Laki Moja Tu Mchaga Akatoa Mara Mganga; Kijakazi Letechupa Namba 23...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Madhara ya kujichubua Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom