JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna watu Hadi nawaonea huruma wanavyolalamika kwamba hawana hela Mimi binafsi nawashangaa Sana wazo la kwanza linalokuja huwa nahisi hawafanyi kazi wavivu.mbona sisi wengine michongo yetu imekaa...
0 Reactions
3 Replies
676 Views
Habarini waungwana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna biashara moja ivi nilikuwa naifikiria kuifanya sana uzoefu nayo sina, kwahiyo nimeamua kuleta huu mjadala kwa wataalam ili mnipe...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi?
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama, Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K. ila mnada maarufu sana kwa nyama ni...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
...simwambii mtu
0 Reactions
9 Replies
996 Views
Si hasubuhi, si mchana, si jioni, si usiku -- ni joto, joto, joto. Heshima ya jambo imeshuka kwa kasi majumbani, uh. Viyoyozi havina msaada kamwe. Mafundi Feni ndo wanapiga pesa msimu huyu.
0 Reactions
6 Replies
770 Views
uzi maalumu wa kuombana hela toa sababu ya kuomba hela tukusaidie kukuchangia.
0 Reactions
107 Replies
7K Views
Closed
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Majina yaliyomo katika Simu za Wazungu wengi ni kama haya..... 1. Doctor Israel 2. Advocate United Kingdom 3. Engineer Germany 4. Accountant Sweden 5. Pilot Canada 6. Architecture France 7...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four. Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja Mwaka wa pili nikakosa mwaka wa tatu nikakosa Mwaka nne...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
RIP
UPIMZIKE KWA AMANI
0 Reactions
1 Replies
812 Views
habari wadau wa chit chat.. naukumbuka uzi wetu wa kupeana likes.. sasa naombeni msaada wenu.. kuna shindano nimeshiriki la ujasiriamali linaitwa total start upper of the year.. katika harakati...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
You're my lady Don't think I don't see them looking at ya All of them wishing they could have ya And as a matter of fact, uh A bunch of them are itchin' for you to scratch'em I'm tired of hiding...
21 Reactions
228 Replies
9K Views
Ivi mbona sielewi inakuwaje hadi mnapakuliwa Jiteteeni kwa maana nyingine labda tutawaelewa. Wake za watu mliokwisha kupakuliwa ebu naomba mnisaidie maana mi sieliwi kabisa...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Vichwa panzi tukutane apa. Tupeane majibu kwa lolote litakalo ulizwa bila kujali. Vichwa panzi tutakua tukichat short short and clear Uzi Tayari.
1 Reactions
80 Replies
4K Views
Nimewamisi
0 Reactions
3 Replies
403 Views
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya mzee wa kasumba. Siku moja bwana nilitongoza mwanamke ambaye amenizid umri kwa miaka 7 HIVi. Sasa ili kunikataa akasema "dogo Mimi huniwezi kwasababu ili niridhike...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenyu bana... Experts Members, Senior Members, Junior Members and New Members ?? tilalilalila:p:p:p - usijuane lakini.... everybody minds his/her own business, short, clear and disturbing...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Niaje wakuu, Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu wa 2018,nikafanikiwa kuchaguliwa Home university. Na...
1 Reactions
9 Replies
908 Views
Back
Top Bottom