JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Bwanaeee sikufichi hakuna mtu mtamu kama hawa wasichana wa kaz. Asikuambietu, hiv na najiulizaga kuna nn ndan yao? Watamu balaaa. Kwanza wengi ni wasafi, kwasababu mda mwingi wanacheza na maji na...
7 Reactions
94 Replies
16K Views
Aisee! Ndani ya daladala kuna kero jamani mtu unaweza kuwa upo kimya unawaza mambo yako kichwani, mara konda au abiria mwenzako akalianzisha utajuta kupanda daladala hilo mbaya zaidi kushuka...
13 Reactions
282 Replies
24K Views
Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out hata nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila utashangaa akifika hapo unamwambia agizakinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken...
7 Reactions
79 Replies
4K Views
Hii makala nimeikuta mahala nikaona wazee wenzangu wataifurahia hasa ukikumbuka enzi za boarding school! Mourning `death` of handwritten letters By Wilson Kaigarula 9th October 2011 In...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zero IQ nimekosea wapi mwaka huu naomba unichane hapa ili nione makosa yangu na nibadilike ikibidi mwaka mwingine ukianza.
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Nilikuwa nawakumbusha tuu kuwa kufuatia wiki mbili hizi zijazo kuwa ile kauli ya "baby nikuambie kitu"ndio muda wake hasa huu umekaribia hivyo mwanaume mwenzangu kuwa makini na hii kauli. Ni hayo...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Ni simu chache nimeona kwa watu ndio hazina crake kwenye kioo.katika simu kumi utakuta simu Saba Zina crake.tumeshindwa kununua protector original.wengi ambao simu zao zimevunjika Ni masela,ma...
0 Reactions
8 Replies
885 Views
Niko dsm ila kiukweli I love Dom, kuanzia hali ya hewa na mazingira, na everything, sehem za starehe, i mean kila kitu, japo life popote ila I wish nipate uhamisho nipangiwe huko, nahamisha...
2 Reactions
132 Replies
9K Views
Fanya hivi ,mwambie kuna neno asimwambie mtu umnongóneze kisha akiwa serious tamka '' MEMBE,MEMBE MEMBE 2020'' ANGALIZO Kuwe na zahanati jirani.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kwa pamoja sote tumtakie kheri mrembo wetu, mtanashati na mnyenyekevu kabisa bi Mzigua90
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimepata kila kitu hapa duniani.kama ni pesa ninayo kwa Sasa nimebaki na mawazo ya kifo tu nawaza Sana itakuwaje siamini Kama nitakufa na kuacha Mali zote hizi.kungekuwa na uwezo nimuhonge pesa...
0 Reactions
6 Replies
895 Views
Kama kichwa kinavyojieleza... Kuna binti nimempigia simu tukawa tunaongea mambo ya kawaida...ile tunafikia mwisho wa maongezi Akanambia. Eti "ANAOMBA NIMUOTE"... na ikitokea nikamuota nimwambie...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Sometimes sifa za kijinga ni janga. Zinaweza kujisababishia madhara makubwa sana. Na kwa kweli wanawake huwa ndio kichocheo kikubwa cha kuleta madhila hayo kwa wanaume. Ni wangapi wanakumbuka...
2 Reactions
102 Replies
12K Views
Nimerudi kundini mademu siwataki watapata taabu kama zote.hangaika nao wewe.me najenga chama na km tunavyojua kila chama kina kaulimbiu yake.mpaka sasa Ni chaputa pekee bado hawana kauli mbiu hata...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kiuna vi mesemo vinatumika mitahani, ofisini, vijiweni, sehemu ya kula/kunywa au unatumika chuoni Kama kuna kimsemo kinacho vuma sehemu uliopo tuambie ni kipi na kina maana gani Zangu mm ni hizi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule. Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k...
4 Reactions
386 Replies
29K Views
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/01/2019 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40% ikiwahusisha pia Watumishi wa Mashirika ya Umma, Serikali Kuu, TAMISEMI na Kuwataka Waajiri Wote wa...
4 Reactions
10 Replies
10K Views
Who is a girl [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]??? A girl is someone who....... Use the video [emoji116][emoji116][emoji116] to finish the sentence[emoji115][emoji115][emoji115] Aaand panic...
0 Reactions
10 Replies
748 Views
Kunajamaa uko ig ana trend sana . Nichapombe kumshinda mganga wa jf mshana jr. Jamaa anapiga mtungi uku anasema ..mama nakufaaa eeeeeee mama ..eeeeeee konk fire. Ili sasa kapata ajali ya gari...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kile kipindi cha kuwatambua wadada waliopata ukichaa ndio, utapishana nao wakiwa wamevaa mifuko ya plastic please usiwakimbie hua wanaponaga kipindi cha kiangazi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom