Wadau naomba kujua mtu anayejiendeleza kwa aidha bachelor au masters kupitia chuo kikuu huria cha Tanzania thamani yake ikoje soko la ajira
Pia unawezeje soma kwa muda mfupi ikiwa uko kazini na...
Oooooh happy birthday To Mimi in Jamii forums nimekumbuka hapa najitoa out kidogo nimejifunza mengi mno nmefaidika sana Shukrani kwako mkuu Melo na Timu Yako Zima Natumaini nitaendelea kua...
Wakuu nataka kujua kwanini wahubiri wanaogopa kufundisha kitabu cha Wimbi ulio bora?
2:5 Nishibishe zabibu niburudishe kwa mapera, kwa maana nimezimia kwa mapenzi,
2:6 Mkono wake wa kushoto uko...
Phobia ni hali ambayo kunakuwa na uoga kupita kiasi wa vitu ambavyo si hatarishi kihivyo.
Tucheki baadhi ya hizo phobias.
Hematophobia. Huu ni uoga wa damu. Kuna watu wakiona damu hadi huzimia...
Wakuu,
Hizi emoji zione tu zikiwa ndogo, hivyo zikiwa kubwa zinatsha sana aisee. Mimi kuanzia jana kwenye simu yangu kuna emoji zimekuwa kubwa sana aiseee, sijui ndo simu inataka kuharibika au...
Kufwendaaaaa...
Wakuu ni muda wetu na wakati wa kuandaa nyoyo zetu juu ya vichekesho ndani ya Maisha ya Abunuasi kuwa karibu na thred hii.
HEKAYA ZA ABUNUASI.
Part one 1.
Abunuasi Alinunua...
Nani alisema Tabia haina Dawa??
Kwa Miaka kadhaa nikiwa nazungumza na watu/mtu nakuwa naongea sana.. mpaka sometimes baada ya mazungumzo kuna baadhi ya mambo naanza kujilaumu kwanini hata...
Demu wangu aliniambia baby nimeishiwa sms na hii ndo ya mwisho kwako uck mwema my mwaaaaa [emoji3] mimi sipendagi ujinga nikamuuliza tena baby ile laki moja nitume kwenye namba...
Lawyer jokes
Question: Is there any difference between a good lawyer and great lawyer?
Answer: Yes. Good Lawyer knows the law very well. And a great lawyer knows the Judge!
Habari za usiku,
Nisiposema hili nitalaaniwa hata, Katika makuzi yetu kwa Namna moja ama nyingine tumeweza kuwakosea wazazi wetu hasa kina mama..
Hawa mama zetu ukiwakosea wanakimbilia Haraka...
Hakuna asiejua makapuku walivyotesa JF lakini kwa huu Uzi n salute..ukigusa tu ka utani malike kibao hawa jamaa ni creative sana na wako serious jpo title IPO kama masihara.
This guys ara...
Serikali ya kisiwa cha Guam imesema kuanzia mwezi January mwaka 2015 haitampokea mfungwa yeyote atakaefungwa kwa makosa mengine tofauti na uchochezi kutokana na magereza nchini humo kuzidiwa na...
Habari za siku yetu wafanyakazi
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye ban, maisha ya ban magumu sana. Ukiingia tu unakutana na kosa lako alafu unapewa siku ya kufunguliwa.
Sasa kipindi nikiwa ban...
Et jmn kama shahawa za mtu mwenye maambukizi ya virus vya ukimwi zikimwagika kwenye kidonda cha mtu asiye na maambukizi zinaweza kusababisha maambukizi?
Habari za Leo wana chit chat
.........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao?????
NOTE: jibu swali km...
Raha sana, Mwanza tumebahatika kuwa na jengo zuri la kibiashara.
Zamani ulikuwa ukitoka mkoani ukifika jiji la samaki lazima ukapige picha pale kwenye samaki, kwa sasa tuna jengo jipya la...
Pamoja sana wanajf.
Jana 21/10/2018 maeneo ya wilaya ya Ilemela - Mwanza, kuna mvulana au niseme dogo mmoja hivi alishangaza wengi, na hata wengine kuishia kucheka (nikiwemo Nahuja mie)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.