JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu. Kutokana na mazungumzo yetu hapo, kicheko chako na tabasamu tamu ulilonionyesha vyote kwa ujumla vikanifanya nikuombe namba ila...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Kwamba.... Mwalimu wake Kamuuliza Swali kuwa ukiachia Nelson Mandela Kufungwa takribani miaka 27 nani mwingine anamjua amefungwa ili kumfikia Mandela huyu Mwanafunzi akajibu kuwa ni Taifa Stars (...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
habari zenu mzabzab nimetua capital city leo....sasa wenyeji nilikuwa naomba mnipe directions za wapi nitapata dada poa wa ukweli na average price inakuwa bei gani
0 Reactions
94 Replies
30K Views
Dada hakubaatika kumaliza kidato cha nne lakini alibahatika kupata nafasi ya kuhenya jeshini akitegemea atapata wakau nafasi ya kuingia jeshini lakini kwa upande wake mambo hayakua alivyotarajia...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Kweli Mwenyezi Mungu hakupi kile unachokitaka anakupa kile unachokitafuta...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
maisha yanakwenda kasi sana, nakumbuka kuna siku nilikuwa hapo jiji la makonda kwa jamaa yangu geto. sasa baada ya kubanwa na haja nikataka kwenda huko msalani huku mvua ikiwa inanyesha, nikaomba...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
naomba kuuliza mana kuna jamaa apa kaniambia eti ukitaka kupanda ferari lazima uvae helment... hivi ni kweli
0 Reactions
20 Replies
1K Views
25, Nov 19.. I was brought to this world Wish me a happy birthday msisahau zawadi Nawasilisha.
1 Reactions
16 Replies
729 Views
Naona vijana wanazidi kutisha tu kila kukicha,mapokezi aliyopata Jux Nairobi ni balaa ,ni kama ya rais Uhuru,full ulinzi msafara wa magari kadhaa,ni wanje wanje. Watanzania wenzangu tusiwachukulie...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wanajf salamu kwenu. Naandika thread hii ya kumtakia baba Askofu Rwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza ambaye amehamishiwa Jimbo kuu la DSM Safari njema.. Tarehe 6/9/2018 ndio safari itaanza rasmi hapa...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
Nyuzi nyingine maneno yake yananiacha, mfano mtu anasema “ nilichukua paba nikaita wana kitaa tukalichangamkia” hii ‘wana’ maana yake ni nini?
1 Reactions
11 Replies
3K Views
hasa hasa katika makutano ya barabara sehemu zenye mataa utakuta wadada kibao tu na mabeseni yao wakiwa wanauza hii kitu na wanunuzi karibu wote ni wanaume....sasa kwanini chakula hii ni wanaume...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mdada umekaa zako kibarazani na mama yako Mara anapitia boyfriend wako barabarani halafu unasikia mama anasema "halafu Huyu kijana ana sura mbaya Kama sugu za magoti ya tembo ":D
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Aiseeeee,alaaaaaaaaaaa
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Issa Weekend.
46 Reactions
2K Replies
84K Views
Naomba kuhoji Ivi unapomuuzia mtu sigara na unajua ina madhara kwa afya huoni unatenda dhambi. Labda hujanielewa. Naanzia nyuma kidogo; Unapoamua kuanzisha biashara ya kusambaza au kuuza sigara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kuwaambia wadada wote ili mjue msijesema hamkujua. Yani mimi nikikuomba namba ya Sim ujue lazima nikutongoze. Sasa ukikubali au kukataa hiyo hainipi shida. Kwahiyo kutoa nambayako alafu...
0 Reactions
8 Replies
735 Views
Ilikuwa form V, baada ya orientation, tunes za kujuana. Wengi tulishapewa majina ya rafiki wa rafiki ambae anakuja shule ile. Dining siku ya kwanza mdada mmoja akimwaga magarage kisa alimkuta...
3 Reactions
8 Replies
950 Views
Hot hot interview!! Mada ni hiyo tajwa hapo juu, ni topic maarufu sana. Na ishajadiliwa hapa mara kazaa, not bad kama tutairudia... Mgeni ni cute b Host : kiwatengu. Muwe kimya kidogo na...
0 Reactions
175 Replies
14K Views
Dah, leo wakina 'swit fm' wameuchunaa na kutulia kama maji ya mtungi kama vile hawako Duniani. Au pengine huko hapajakucha bado niendelee kuvuta subra! Nimepita kwenye mitandao mbali mbali ila...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom