JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sadani National Park [emoji216]
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Description: + Create and Edit Rich Text Documents on your iPhone or iPad. + Create and Edit Spreadsheets + Scan documents and convert to PDF + Create Hand-Written notes and Drawings + Annotate...
0 Reactions
5 Replies
884 Views
Looohh si Kwa kukuchoka huku Lakini hatimae nimepata msamalia mwemaaa akanisaidia kushusha nyegezi
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna ameishi huko na sasa amekuja Likizo mara moja kaniambia kwamba kama Wewe ni Mtanzania halafu Siku moja ukabahatika ama Kusafiri na Mzazi wako au Wazazi wako au Wakwe zako basi mkiwa mnapita...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu Kuna zile meseji tulikuwa tunatumiwa kwamba ukii forward kwa watu kumi au ishirini Basi utaona mafanikio baada ya kipindi kifupi.nina ma sms ya kushato wakuu Kama 1500 hivi naombeni msaada...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
If you made a mistake—apologize. If you are thankful—say it. If you are confused—ask questions. If you learn something—teach it. If you are stuck—ask for help. If you are wrong—admit it sooner...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa Nimeamua kuanzisha kijiwe Kijiwe cha kuzungumzia maisha Ya watu mtaani kwangu baada Ya kugundua kumbe mtaani Kwangu watu wananisema Vibayaaa. Sasa nimefungua kijiwe...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini mu wazima wa afya, napenda kuwasilisha nionacho mimi katika BSS ya 2018, katika hatua za michujo huko mikoani walichujwa baadhi ya vijana /wasanii wenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwenye gari hili aliamka asubuhi na kung'amua mzingiro huo mweupe kwa usafiri wake. Kwa hofu ya dhahiri, aliacha kulitumia akawa anaenda kwa taxi kazini kwake. Muungwana huyu alimuita Fundi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Waluguru kwa sifa za kijinga siwawezi!Hebu cheki sentensi hizi. (i)Mkude gangwe kweli,kafukuzwa na simba toka porini kaja kamatiwa mlangoni! (ii)Mkude gangwe sana,kaenda mjini,kaibiwa...
3 Reactions
62 Replies
9K Views
Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa! Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa. Yaani kutwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa saundi hili lazima demu akukubali bofya: https://www.youtube.com/watch?v=K3mXmEwxiW4&t=393s Mcheki Tin White na Ringo wanavyodanganya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
```Jana niliingia zangu library, palikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na MTOTO mmoja hivi shombe-shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake...
0 Reactions
7 Replies
956 Views
habari zenu wana JF..naombeni mnijuze huyu jamaa aliyejipatiaga umaarufu enzi zile akiwa Radio One kupitia kipindi cha Chemsha Bongo, yuko wapi sasa..maana ni muda mrefu sana sijamsikia.
1 Reactions
29 Replies
7K Views
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukianza kulewa 🍺 inakuwa tamu sana. Pale ubongo unapofurahia maisha na kusahau shida zinazokuzunguka. Kama una 20,000 ambayo unaitegemea mpaka the next pay day, utamu wa bia utakwambia maisha...
14 Reactions
34 Replies
4K Views
Hakuna nchi dunia hii itaendeshwa bila kodi.lazima tukamuliwe ili hela ipatikane tuache kupewa mikopo ya masharti ya kipumbavu.
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna usemi huwa unasemwa na baadhi ya wanawake kwamba ili mwanamke udumu kwenye mahusiano basi mwanamke anapaswa yeye asimpende huyo mwanaume isipokuwa mwanaume ndio anapaswa kumpenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Unaweza usielewe: LEO nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. Nikamuuliza eti dada unavijua VISA vya wanawake?? Akajibu kaka niache. Nikakomaa anijibu… Badala ya kujibu akaanza kupiga...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Najua tupo wengi tunaospend pesa nyingi kwa siku.wengine kwa siku wanatumia 5000,wengine 10000 ,wengine 30000 wengine mpaka million moja na wengine zaidi ya hapo Mimi ndege JOHN matumizi yangu kwa...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom