JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Zamani walikuwa na dharau na pesa walifikia kipindi kudharau mpaka million.sasa hivi ukitoa 10000 tu mademu kama wote wanakutolea macho.si ndio raha hio ndio Tanzania tunayoitaka
1 Reactions
8 Replies
946 Views
NI USHAURI TU *ukiona majirani wanakusumbua, we nunua ndala za kike za 2000, weka mlangoni kwako, fungulia mziki na ufunge mlango kisha washa data usome ujinga wa Bamwanga Jr huku WhatsApp...
2 Reactions
3 Replies
805 Views
Ilikuwa form V, baada ya orientation, tunes za kujuana. Wengi tulishapewa majina ya rafiki wa rafiki ambae anakuja shule ile. Dining siku ya kwanza mdada mmoja akimwaga magarage kisa alimkuta...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Ilikuwa form V, baada ya orientation, tunes za kujuana. Wengi tulishapewa majina ya rafiki wa rafiki ambae anakuja shule ile. Dining siku ya kwanza mdada mmoja akimwaga magarage kisa alimkuta...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Kuna mtu kaniambia anauza simu ina uwezo wa kurekodi kila kitu hadi harufu, sasa lazima hii niininue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bamwanga Jr
0 Reactions
7 Replies
993 Views
Je unasumbuliwa sana na matatizo ya meno??? Hii ni dawa ya meno inayofanya kazi 10 kwa wakati mmoja (miracle toothpaste) 1)kwa wale wanaovimba fizi au zinatoka damu dawa hii inasaidia sana 2)kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hii style ya short hair afu zinakuwa bleached Kama ya amber ruty au kina amber lulu au kina amber rose me nikishamuona demu kajipaka bleach vile namuogopa Kama Moto.machale yananicheza wengi...
3 Reactions
59 Replies
10K Views
Habari za jion kwa hisani ya wana chama wote wa CHAPUZA Kama kichwa cha habar kinavyojieleza baada ya kuachana kabisa na uana chama wa chaputa nikaamua kutulia nikajua nimeacha kumbe ilikua ni...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
WALLET YA KIJANA WA MAREKANI 1:Visa Card 2:Driving License 3:Hela ya matumizi WALLET YA KIJANA WA TANZANIA 1:ATM card ya NMB 2:ATM card CRDB 3:Kitambulisho cha Taifa 4:Leseni 5:Kadi ya...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Sijatumia huu mtandao miaka mingi..basi nkapata plan ya biashara ila nkapanga nibase kotekote.. Yani physical na online Nimeanza na instagram japo sijaweka picha.angalau followers wanakujakuja...
8 Reactions
82 Replies
5K Views
Siku moja babu aliniita katika kibanda chake na kuanza kunisimulia hadithi moja. Alianza kama hivi.......... “Hapo zamani za kale, hapa ulimwenguni waliishi viumbe wanne nao ni Punda, Mbwa, Bata...
2 Reactions
11 Replies
11K Views
Niwe wa kwanza kumshauri bila kupoteza muda. Apende na azingatie sana MUDA Kila jambo alifanye kwa muda wake... Ajali sana matumizi mazuri ya PESA. Pesa ni kama maua... Atambue umuhimu wa JAMII...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sio kwamba sina mkanda mzuri ambao utanifanya nionekane bomba Sio kwamba sina suruali nzuri zinazofaa kuchomekea la hasha. Sio kwamba sina mashati nadhifu ambayo nikichomekea utasema naam...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari ndio hiyo, nina fungu kutoka kwa nchi hisani kwa ajili ya kuwa assist wana JF ambao mishahara haijatoka na wanahitaji 20k to 30k. Karibuni sana
10 Reactions
120 Replies
7K Views
Taifa Stars ni........... ? Malizia
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama huna uvumilivu na busara utaishia kuzichapa kila siku.. Kuna watu hawajastaarabika kabisa Hebu ona mfano una mihangaiko yako ya huku na kule unatoka asubuhi unarudi usiku huna hata mda wa...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Hizi ni sababu ambazo zimenifanya na zinanifanya nisilipende kabisa jukwaa la siasa A) wachangiaji Wa jukwaa la siasa ni wachumia tumbo. Kwanini nasema hivyo kule kuna...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Ivi kama Baraza la Sanaa tofauti ya kuzibiti mahudhui Na mienendo ya wasanii isiweze kuleta impact mbovu kwenye jamii usika kazi yake nyingine ni ipi? Mbona akuna mifumo rafiki inayo wezesha kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hata Mimi sijui
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom