Hata kama vyuma vimekaza lakini kula bata muhimu
Tarehe 10 ya mwezi nataka kwenda Tanga kutembea je nisehemu ipi nzuri katika Jiji la Tanga nataka kwenda kula bata na familia yangu.
Leo ninapanda bodaboda jamaa anasema JANA ALINUSURIKA AJALI KUBWA SANA KISA UZEMBE WAKE MWENYEWE.
mimi;(huku mapigo ya moyo yakienda kasi)NISHUSHE PALE MBELE Bro...
Ukiwa na hela siku inaweza isha hujala chochote na huisi njaaa...
Ukiwa na hela unaweza muita dem yoyote mkali kitaa kwa kujiamini na ukatoa madini yako kidogo tu pesa itamaliza kila kitu.
Ukiwa...
leo majira ya saa 2 na nusu usiku pale kwa sokota temeke niliagiza chipsi na mayai mawili na soda ya pepsi ya baridi lakini nimeshindwa kumaliza kula mpaka nimeona jau.
Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale...
Mama yangu ni mtu mzima na ameshaozesha watoto wake kadhaa wakike kwa wakiume ikiwa ni pamoja na watoto wake wa kuwazaa, watoto wengine wa ndugu zake na wengine tu aliyowalea
Siku zote dada zetu...
Alipewa shilingi mbili(coins) aende kununua maziwa..
Njiani akakuta watoto wenzake wanaokota mawe na kuyarusha kwa nia ya kuapopoa shorwe(aina ya ndege). Naye (Yohana),akaamua kupopoa ndege...
Naanza kwa kuwasalimia wote na kuwatakia kheri ys Chrismass na mwaka mpya ,nikirejea maada tajwa hapo juu Nikwamba juzi ulikua ukifungua thread yoyote unakutana na vimaua ( gift ) vinaanzia chini...
Kama una boyfriend/mchumba/mpenzi ambaye ukimuomba 10000 au laki inakuwa Ni msala,atakuzungusha mpaka udate.na akikupa huenda yeye kule akawa anajipiga makofi mixer kukumwagia laana..swali je Ni...
Mpaka sasa ngoma imeshamlalia admini. Mpaka kesho naona adimin ataachiwa kipopo cha x-mass na mwaka mpya. Kuelekea 2019, hatupendagi ujinga sisi.
Nawasilisha
Habarini.
Leo nimepita Makongo Secondary School na kuona lile DCM lao likiwa limepaki pale nje.
Limenikumbusha mbali sana miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000s. Lilikuwa likitusomba...