Kama masihara vile lakini ndio hivyo tena,
Muda ahusubiri mtu, unasonga mbele kwa mbele kama ccm.
Mipango ilikwenda sawa?
Nani alikuwa mchawi wako?
Au mambo ni vuluvulu??
Tupeane faraja...
Asante JF mmetuma vimulimuli vya Xmas na mwaka mpya kwa hali yangu sitegemei kununua mti wala taa za vumulimuli. N awaza ada za watoto hadi presha inashuka. ASANTE JAMIIFORUMS.
Igweeeeeee
kiukweli hii sauti ishanikosha sana, ni dada gani huyu mwenye sauti tamu namna hii ambayo huweza kumtoa nyoka pangoni kwa asilimia kubwa ya wakwale wa jiji hasa tunapokua ndani ya basi...
N.B: USIFANYE KWA MAGAZIJUTO;
1- Chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2- Chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3- Zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4- Jumlisha kwa 13 katika...
MADA MEZANI!!
Hivi utafanyaje pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi ukasikia...
Husika Na maelezo hapo juu mm nikijana Wa kiume32 nimejiajiri,naitaji mpenzi atakaye kuwa Mke Wa pili asiwe Na Mtoto,awe amejiajiri ,dini yoyote pia awe anamiaka 25...pia asiwe msiri ktk mambo...
Mimi ni kinaja wa miaka 29 naishi arusha tz najishuhulisha na kazi za kitalii sasa naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzi miaka 18 hadi 26 na nipo siriasi kwelikweli na alie tayari unaweza nifata...
Nyie wachungaji ambao mnatoa huduma ya maombezi Kwanini msiponyeshe watu wanaoumwa Kama mnajisifu mna tumia nguvu ya yesu.maana ishu hapa Sio kufanya miujiza hata farao na watu wake walifanya...
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew
Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini...
Kusema kweli msimu huu wa sikukuu sitatoa ata mia yangu kwa ajiri ya kumnunulia demu nguo ya kuvaa au mazaga mengine,
Bajeti yangu mwaka huu ni kwa wazee wangu tu (baba na mama),pamoja na...
Haya sasa christmas nimeambiwa tuende mkoa mi sijawahi kukaa nje ya dar mida kama hii.nitawezaje kukaa mbali na demu wangu wahuni sio watu mara wakamgonga itakuaje sa mkoani hata nikienda ile...
habari mrembo wa jf Khantwe i hope u mzima wa afya, dhumuni la post hii ni.kukuomba ubadilishe avatar maana kila nkiangalia avatar yako naenda kujilipua koo nakuomba ubadilishe avatar maana...