Mojawapo ya vikwazo tunavyokumbana navyo wanaume tunapokuwa tunammendea mwanamke ni jinsi ya kumuanza mwanamke. Utamuanzaje. Sio siri hapo ndipo huwa kuna mtihani mkubwa sana.
Hivi unakumbuka...
Nashukuru kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe mwenye bahati na kuendelea kuishi mpaka leo!Katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi ninaomba aendelee kunipa nguvu ili nitimize ndoto...
wakuu huyu mwanamke kapost huko wasap kuwa she is in search for A husband with huge&strong 'pinasi' kwa sababu hataki mtu legelege kitandani.
yeye yupo mamtoni huko karibu na kina @J au...
husika na kichwa cha habari hapo .kuna ndugu yangu anatafta mke wa kumuoa na kuishi nae hadi kufa .yeye amemaliza chuo katika fadi ya uhandisi na amepata kaz analipwa si chini ya milioni nne na...
Yule mshindi wa shindano la Bongo star search (BSS) mwaka 2009, PASCAL CASSIANO
kwa sasa Account yake imeisha na kubakiza hela ya kitabu tu (kama Tsh. 3000), watu wa karibu wa msanii huyo...
Mambo vipi guys. Naomba kujua zilipo ofisi za serikali ya mtaa pale Buguruni sheli. Kwa anaejua tafadhali nijulishe nahitaji kufika lakini sifahamu zilipo!
Jamani wanajamii wenzangu Leo ni Siku yangu ya kuzaliwa happy birthday to me
Karibuni keki ππππππͺπͺπͺππππππππππ
Povu sitaki
****WHY ENGLISH IS TOUGH*****
Twenty-one reasons why English is hard to learn.
1. The bandage was wound around the wound.
2. The farm was used to produce produce.
3. The dump was so full it...
habarini wakuu poleni na majukumu ya kujenga taifa, natumai mu wazima wa afya
Niende moja kwa moja kwene mada japo asimia sabini hii mada itakua anawahusu mafundi
jana nimeongea na sir god...
Kwa upande wng me nipo online baada ya kukosa Usingizi. Kukosa usingizi inatokana na kulala njaa. Kwahyo toka saa 5 nna hesabau kenchi pia nnajenga nyumba na kubomoa mwenyewe. Vip kuhusu ww...
Dr ndodi aonekana ofisini kwa Dr Boaz Mkumbo daktari aliebobea katika kutoa elimu ya lishe, kumbuka Dr ndodi hapo kipindi cha nyuma alikua akitoa elimu ya namna ya kuepukana na kitambi kwa...
Jana mida ya jioni nilikua pale Kivukoni ferry nikimsubiri mtu, ghafla akaja mdada wa makamo anaelekea kwenye utuuzima hivi.
Yule mdada alikuja na gari yake ndogo hivi, akashuka kwenye gari huku...
1,What do you think about it?
2,Is it helpfull for young enterprenuers?
3, Is it an introduction of neo colonialism in Tanzania?
4, Will it uphold the subjects to somewhere else?
5, Do you think...
Siku hiyo side mnyamwezi alikutana na mwanamke mzuri.
Akaimbisha akakubaliwa kufika gest saa ya kulala side akataka kwenda kuzima taa yule dem akamzuia side kisha akanyoosha kidole kikawa kirefu...