Kuna watu Hadi nawaonea huruma wanavyolalamika kwamba hawana hela Mimi binafsi nawashangaa Sana wazo la kwanza linalokuja huwa nahisi hawafanyi kazi wavivu.mbona sisi wengine michongo yetu imekaa...
Habarini waungwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna biashara moja ivi nilikuwa naifikiria kuifanya sana uzoefu nayo sina, kwahiyo nimeamua kuleta huu mjadala kwa wataalam ili mnipe...
Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,
Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.
ila mnada maarufu sana kwa nyama ni...
Si hasubuhi, si mchana, si jioni, si usiku -- ni joto, joto, joto.
Heshima ya jambo imeshuka kwa kasi majumbani, uh.
Viyoyozi havina msaada kamwe.
Mafundi Feni ndo wanapiga pesa msimu huyu.
Majina yaliyomo katika Simu za Wazungu wengi ni kama haya.....
1. Doctor Israel
2. Advocate United Kingdom
3. Engineer Germany
4. Accountant Sweden
5. Pilot Canada
6. Architecture France
7...
Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four.
Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja
Mwaka wa pili nikakosa
mwaka wa tatu nikakosa
Mwaka nne...
habari wadau wa chit chat..
naukumbuka uzi wetu wa kupeana likes.. sasa naombeni msaada wenu..
kuna shindano nimeshiriki la ujasiriamali linaitwa total start upper of the year.. katika harakati...
You're my lady
Don't think I don't see them looking at ya
All of them wishing they could have ya
And as a matter of fact, uh
A bunch of them are itchin' for you to scratch'em
I'm tired of hiding...
Ivi mbona sielewi inakuwaje hadi mnapakuliwa
Jiteteeni kwa maana nyingine labda tutawaelewa.
Wake za watu mliokwisha kupakuliwa ebu naomba mnisaidie maana mi sieliwi kabisa...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya
mzee wa kasumba.
Siku moja bwana nilitongoza mwanamke ambaye amenizid umri kwa miaka 7 HIVi. Sasa ili kunikataa akasema "dogo Mimi huniwezi kwasababu ili niridhike...
Habari zenyu bana... Experts Members, Senior Members, Junior Members and New Members ??
tilalilalila:p:p:p - usijuane lakini.... everybody minds his/her own business, short, clear and disturbing...