Bwanaeee sikufichi hakuna mtu mtamu kama hawa wasichana wa kaz. Asikuambietu, hiv na najiulizaga kuna nn ndan yao? Watamu balaaa.
Kwanza wengi ni wasafi, kwasababu mda mwingi wanacheza na maji na...
Aisee! Ndani ya daladala kuna kero jamani mtu unaweza kuwa upo kimya unawaza mambo yako kichwani, mara konda au abiria mwenzako akalianzisha utajuta kupanda daladala hilo mbaya zaidi kushuka...
Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out hata nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila utashangaa akifika hapo unamwambia agizakinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken...
Hii makala nimeikuta mahala nikaona wazee wenzangu wataifurahia hasa ukikumbuka enzi za boarding school!
Mourning `death` of handwritten letters
By Wilson Kaigarula
9th October 2011
In...
Nilikuwa nawakumbusha tuu kuwa kufuatia wiki mbili hizi zijazo kuwa ile kauli ya "baby nikuambie kitu"ndio muda wake hasa huu umekaribia hivyo mwanaume mwenzangu kuwa makini na hii kauli.
Ni hayo...
Ni simu chache nimeona kwa watu ndio hazina crake kwenye kioo.katika simu kumi utakuta simu Saba Zina crake.tumeshindwa kununua protector original.wengi ambao simu zao zimevunjika Ni masela,ma...
Niko dsm ila kiukweli I love Dom, kuanzia hali ya hewa na mazingira, na everything, sehem za starehe, i mean kila kitu, japo life popote ila I wish nipate uhamisho nipangiwe huko, nahamisha...
Nimepata kila kitu hapa duniani.kama ni pesa ninayo kwa Sasa nimebaki na mawazo ya kifo tu nawaza Sana itakuwaje siamini Kama nitakufa na kuacha Mali zote hizi.kungekuwa na uwezo nimuhonge pesa...
Kama kichwa kinavyojieleza...
Kuna binti nimempigia simu tukawa tunaongea mambo ya kawaida...ile tunafikia mwisho wa maongezi Akanambia. Eti "ANAOMBA NIMUOTE"... na ikitokea nikamuota nimwambie...
Sometimes sifa za kijinga ni janga. Zinaweza kujisababishia madhara makubwa sana. Na kwa kweli wanawake huwa ndio kichocheo kikubwa cha kuleta madhila hayo kwa wanaume.
Ni wangapi wanakumbuka...
Nimerudi kundini mademu siwataki watapata taabu kama zote.hangaika nao wewe.me najenga chama na km tunavyojua kila chama kina kaulimbiu yake.mpaka sasa Ni chaputa pekee bado hawana kauli mbiu hata...
Kiuna vi mesemo vinatumika mitahani, ofisini, vijiweni, sehemu ya kula/kunywa au unatumika chuoni
Kama kuna kimsemo kinacho vuma sehemu uliopo tuambie ni kipi na kina maana gani
Zangu mm ni hizi...
Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule.
Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k...
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/01/2019 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40% ikiwahusisha pia Watumishi wa Mashirika ya Umma, Serikali Kuu, TAMISEMI na Kuwataka Waajiri Wote wa...
Who is a girl [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]???
A girl is someone who.......
Use the video [emoji116][emoji116][emoji116] to finish the sentence[emoji115][emoji115][emoji115]
Aaand panic...
Kunajamaa uko ig ana trend sana . Nichapombe kumshinda mganga wa jf mshana jr.
Jamaa anapiga mtungi uku anasema ..mama nakufaaa eeeeeee mama ..eeeeeee konk fire.
Ili sasa kapata ajali ya gari...
Kile kipindi cha kuwatambua wadada waliopata ukichaa ndio, utapishana nao wakiwa wamevaa mifuko ya plastic please usiwakimbie hua wanaponaga kipindi cha kiangazi.