Zamani walikuwa na dharau na pesa walifikia kipindi kudharau mpaka million.sasa hivi ukitoa 10000 tu mademu kama wote wanakutolea macho.si ndio raha hio ndio Tanzania tunayoitaka
NI USHAURI TU
*ukiona majirani wanakusumbua, we nunua ndala za kike za 2000, weka mlangoni kwako, fungulia mziki na ufunge mlango kisha washa data usome ujinga wa Bamwanga Jr huku WhatsApp...
Ilikuwa form V, baada ya orientation, tunes za kujuana. Wengi tulishapewa majina ya rafiki wa rafiki ambae anakuja shule ile.
Dining siku ya kwanza mdada mmoja akimwaga magarage kisa alimkuta...
Ilikuwa form V, baada ya orientation, tunes za kujuana. Wengi tulishapewa majina ya rafiki wa rafiki ambae anakuja shule ile.
Dining siku ya kwanza mdada mmoja akimwaga magarage kisa alimkuta...
Kuna mtu kaniambia anauza simu ina uwezo wa kurekodi kila kitu hadi harufu, sasa lazima hii niininue,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bamwanga Jr
Je unasumbuliwa sana na matatizo ya meno???
Hii ni dawa ya meno inayofanya kazi 10 kwa wakati mmoja (miracle toothpaste)
1)kwa wale wanaovimba fizi au zinatoka damu dawa hii inasaidia sana
2)kwa...
Kuna hii style ya short hair afu zinakuwa bleached Kama ya amber ruty au kina amber lulu au kina amber rose me nikishamuona demu kajipaka bleach vile namuogopa Kama Moto.machale yananicheza wengi...
Habari za jion kwa hisani ya wana chama wote wa CHAPUZA
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza baada ya kuachana kabisa na uana chama wa chaputa nikaamua kutulia nikajua nimeacha kumbe ilikua ni...
WALLET YA KIJANA WA MAREKANI
1:Visa Card
2:Driving License
3:Hela ya matumizi
WALLET YA KIJANA WA TANZANIA
1:ATM card ya NMB
2:ATM card CRDB
3:Kitambulisho cha Taifa
4:Leseni
5:Kadi ya...
Sijatumia huu mtandao miaka mingi..basi nkapata plan ya biashara ila nkapanga nibase kotekote.. Yani physical na online
Nimeanza na instagram japo sijaweka picha.angalau followers wanakujakuja...
Siku moja babu aliniita katika kibanda chake na kuanza kunisimulia hadithi moja. Alianza kama hivi..........
Hapo zamani za kale, hapa ulimwenguni waliishi viumbe wanne nao ni Punda, Mbwa, Bata...
Niwe wa kwanza kumshauri bila kupoteza muda.
Apende na azingatie sana MUDA
Kila jambo alifanye kwa muda wake...
Ajali sana matumizi mazuri ya PESA.
Pesa ni kama maua...
Atambue umuhimu wa JAMII...
Sio kwamba sina mkanda mzuri ambao utanifanya nionekane bomba
Sio kwamba sina suruali nzuri zinazofaa kuchomekea la hasha.
Sio kwamba sina mashati nadhifu ambayo nikichomekea utasema naam...
Kama huna uvumilivu na busara utaishia kuzichapa kila siku..
Kuna watu hawajastaarabika kabisa
Hebu ona mfano una mihangaiko yako ya huku na kule unatoka asubuhi unarudi usiku huna hata mda wa...
Aman iwe juu yenu wakuu
Hizi ni sababu ambazo zimenifanya na zinanifanya nisilipende kabisa jukwaa la siasa
A) wachangiaji Wa jukwaa la siasa ni wachumia tumbo. Kwanini nasema hivyo kule kuna...
Ni kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.
Ivi kama Baraza la Sanaa tofauti ya kuzibiti mahudhui Na mienendo ya wasanii isiweze kuleta impact mbovu kwenye jamii usika kazi yake nyingine ni ipi?
Mbona akuna mifumo rafiki inayo wezesha kazi...