JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimejikuta nikifikiria hivi ikitokea voda wakadhamini wasafi festival itakuaje?
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Habari zenu.. Naomba ieleweke haya ni maoni yangu binafsi. Katika kipindi cha miaka 10 nilichotumia simu nimekutana na mambo haya yanayonitibua nyongo. 1. Kupiga simu kwa fujo. Kuna watu akili...
21 Reactions
182 Replies
11K Views
Yes ni kitu gani au kituko kipi uliwahi shuhudia ukacheka mpaka ukajishangaa na hata ukikaa mwenyewe unacheka,,unajua kucheka ni furaha ya ajabu ,mfano umekaa sehemu ukaona kitu kinachekesha...
11 Reactions
175 Replies
9K Views
Watu wa Dar bwana.... Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta[emoji4][emoji4].... Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo...
17 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania ninaishi Lughombo Mwakaleli Mbeya, nimekuwa na bahati mbaya sana ya kukimbiwa na mke kila ninapokuwa nimeanza naye rasmi masuala ya unyumba, tena mbaya zaidi hata bila hata...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimekuwa Single kwa Muda mrefu Mpka mejiamsha Mwenyewe "Baby kumekucha Amka uende shamba Mpenzi wangu" [emoji53][emoji53][emoji53] Bamwanga Jr
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Habari ya sikukuu mabibi na mabwana, Mimi ni kijana mwenye miaka 20+.., jana nilibahatika kuona tangazo la kazi nchini UK, sasa katika kuapply kuna baadhi ya maswali unatakiwa uyajibu something...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Juzi nilipeleka simu kwa fundi ilikuwa na tatizo ambalo zamani kwa kikwete bila 7000 nisingeweza kuitengeneza.nikamkuta fundi simu mida ya mchana anapiga miayo inaonekana siku nzima alikuwa...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Baada ya Diamond kutangaza show ya Wasafi Festival 24/11/2018 huko Mtwara mara nao Tigo Fiesta wakaeka show yao siku hiyo hiyo. Sasa na hii tena Ali kiba nae kufanya show yake tarehe 24/11/2018...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wasalaaam, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Mimi ni miongoni mwa wadau wanaopenda kula Mahindi ya kuchoma.Lakini nimekuwa naona Ulaji wa mahindi hunoga utamu kipindi ambacho kuna...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Tusipo jibadilisha na kujiendeleza sisi kama Tanzania na Africa kwa ujumla tutakuwa watumwa wa kiteknolojia au watumwa wa kidigitali mbaya zaidi na ni bora hata ule uliopita . Kama nchi inabidi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mme wake kalazimika kuvumilia kwa zaidi ya miezi mitatu bila fufanya tendo la ndoa hadi akaanza kutokwa vipele usoni pamoja na vijipu [emoji15] wanaume...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Kama Mimi ndo sielewi kabisa.me nimevurugwa eti.me Ni chizi.kwa hiyo nataka kwenda mbele ila sielewi nipite wapi afu ukitegemea life linatumaliza.elimu ya bongo miyeyusho.kwanza wame tight...
0 Reactions
6 Replies
709 Views
Jana nimekaa karibu na madada wawili maeneo ya mjini (Kumbuka sio kila sehemu Dar ni mjini) restaurant fulani nikipata juice ya miwa. Hao madada walionekana kusurf sana Jamiiforums hasa MMU...
5 Reactions
75 Replies
9K Views
Anajulikana kama SHUNDU, CHURA, BANDA LA UANI, LENS MBINUKO, REVERSE, SOFA na mengine mengi ambayo waja wamebatiza. Kiukweli me mwenyewe ni muhanga wa hili dubwana, likipita au kupishana nami...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
wakuu habari zenu nimekaa apa nacheki move ya yesu naskiliza hizi kauli zake nabaki najiuliza hivi kama yesu angekua mwanamziki angeimba nyimbo za aina gani? mi kwa mtazamo wangu kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Swalamaah [emoji1538] Leo siku imepita kesho pia itaitwa leo ikifika. Wahenga walisema "Muungwana ni vitendo" je na wewe ni muungwanaa!? Utajuaje kama wewe ni miongoni mwa jamii ya waungwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenzenu kwetu mwanza nyegezi karibu na nyumba ya wageni ya kumalija....madereva wote wanakijua kituo cha nyegezi hata bodaboda na bajaji wanapajua. Karibuni sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tsap fellaz [emoji1534] Leo pita pita zangu nmekutana na mwanangu wa kitambo sana, unajua ilikuwaje? Mimi sina hili wala lile nashtuka tu mtu ananigusa bega, "oya Mgenii vipi msela?" Kwanza...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu poleni na kazi.mimi sina kazi wala sina majukumu.mimi toka nije dar es salaam kwa ndugu yangu nikafikia maeneo ya chanika sikuwahi kupata nafasi ya kuzurura mjini.sasa leo asubuhi ndugu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…