Nafanya kazi ya boda boda muda sasa.. Miezi 2 iliopita nilihama kijiwe maeneo ya sinza nikahamia magomeni
Ebana hiki kijiwe kina abiria balaa yani hukai muda wote uko bizee, Sasa kuna abiria...
Kuna jamaa anaishi na girlfriend wake, jamaa hana kazi, hela wanayoitegemea ni dada kwenda kutafuta wateja usiku kwenye hoteli za kitalii. Jamaa halali mpaka bibie arudi na akirudi anamuwekea...
Kiukweli huwa mnatutia genye sana na hizi avatar.
Yani unatamani kumfuata mtu PM kisa avatar yake.
Afu mkija humu mnalalamika mnasumbuliwa. Si muweke avatar ya sura mbaya muone km kuna mtu...
...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu.
Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.
Wakuu nimekuwa na urafiki na smartphone yangu kupita kiasi.mimi muda wote na simu.kila muda Niko busy na simu mpaka chooni.kwenye daladala Niko na simu napitia nyuzi za JF
Wakubwa poleni sana.sisi vijana wa nyakati hizi(kizazi za uzinzi) tuna injoyi Sana life.watoto wa siku hizi wadogo tu wanafunzi washaanza kufanya mambo makubwa hata hawaoni aibu.watoto wa...
Habarini za Muda huu Memberz woote wa JF.
Nikiwa kama Mmoja wa waratibu wa Party yetu ukiachilia mbali Mtambuzi, gfsonwin na mratibu mpya Vin Diesel, napenda niseme...
Mchana mwema wakuu,
Unapita sehemu unakuta kamba imejaa vyupi hatari vya rangi mbalimbali,wengine tukiziona zile tunaanza kujenga picha ya papuchi,baada picha ku-develop kichwani mshedede unapata...
...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu.
Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.
Kila mtu ana makuzi yake aliyopitia utotoni kuna wale wa kishua,wa uswazi na wa kijijini,
Na kila mtu ana mchezo wake aliokuwa anaupenda sana , Binafsi ilikuwa kwenye Chandimu,gorori pamoja na...
Nimekuwa nikisikia sikia Huku na huko kwamba kila mwanadamu ana madhaifu yake aidha ya kimwili,au kiakili au kitabia.kwangu Mimi Ni tofauti Sana kwani nimejichunguza kwa muda mrefu nimejijua Sina...
Wakuu Mimi mwanenu sijuagi mambo ya bank Wala mambo ya tigo pesa au m pesa.mimi nikipata kalaki kwenye mambo yangu nakatumia chote.kama Ni vyombo nitapiga mpaka iishe Kama Ni ishu ya muhimu...
WaKÜŪ APPA nilipo nakaba shingo za chupa ba fula ni.hio bar inaa limama fullan limevaa makuku mguuni.sorry nimkosea Ni vikuku sio makuku.nimelewa sielewi nasikia ngoma nyimbo nasikia hii ya...