Dunia inaenda kasi, baada ya kugundua kuwa kuna njemba inammendea aliyekuwa mpenzi wangu naye akawa ana mu entertain tuligombana na kutengana kwa muda kila mtu na mambo yake. Jamaa akakaza na...
Habari za mida hi wakuu
Nipo apa posta nasubiria kilimanjaro expres tayar kwa kwenda nchi jiran zanzibar!!!!!
Swali langu ni je hiv hua kuna kupita hotelin kula( ilivo kwenye kutoka mkoni labda...
Habari wanajamvi, Miaka ya hivi karibuni kameibuka kamtindo kakilimbukeni ka kumwagiana maji siku ya kuzaliwa. Mtindo huu umeigwa toka ng'ambo na kuletwa kwetu. (Si vibaya kuiga, lakini ni vizuri...
Habari zenu wana JF.
Nimeweka huu Uzi kuwakumbushia siku zinazidi kuyoyoma na michango inasua sua.
Mpaka sasa tumepokea michango ya members 21 na sisi lengo letu ilikua watu 50 at least kutokana...
Wakuu Salam,
Binafsi nikiwa miongoni mwa watanzania milioni 50, sina shaka na UZALENDO wangu kwa taifa langu lakini hizi title mbili za UMASKINI na UNYONGE sizikubali, sijui wewe mwezangu...
Kwa wale wote ambao mko nje ya Tanzania hapa panawahusu
Kwanza tunataka kujua uzoefu changamoto zenu na mnayakabili vipi maisha ya huko
Hapa tupate kujua unapendelea safari na kampuni gani au...
Habari zenu ndugu wapendwa
Niende kwenye mada
Kutokana na hali kuwa ngumu kwa upande wangu,basi nadhubutu kusema nimekomaa kwa umasikini,nina vigezo vyote vya kuitwaasikini,
kama ni mpira basi...
Hi jf,
Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B".
Sijajua...
Habari wakuu!
Baada ya kufanya uchunguzi wangu toka mwaka huu uanze juu ya dalili kadhaa za ndugu zangu, majirani zangu, wafanya kazi wenzangu na hata mimi mwenyewe kwa nyakati tofauti nimegundua...
Habari zenu wakuu,
Kuna vitu vingi sana vya kujivuni kwa sisi tulio bahatika kuwepo miaka ya 199....
Binafsi nilikuwa napenda sana hadithi za babu na bibi enzi hizo,hadithi za shule ya msingi...
Siamini kabisa kiufupi leo nimemaliza mwezi kabisaa leoo [emoji123][emoji123][emoji57][emoji57]
Heko kwa kuweza kutunza mbunyee hiii
Shemeji yenu yupo masomoni natarajia kukutana naye mwezi wa 12...
kwa wale tuliopo dom city..huu ndo uzi wenu wa kutiririka hapa..
kuanzia viwanja.. yaani bata batani...kwa wajanja wote basi hatukosi night club kali kama, maisha club, club 7,club laaziz, club...
Katika mishe mishe za kutumwa na bosi nkaenda ofisi moja nkakutana na secretary wa haja toka tanga kimuonekana yukokama masogange sema huko nyuma lawama zaidi .
Basikidume nikajikaza nimtoe lunch...
Binafsi nna group moja tu la family...
Huwa nawashangaa sana wale wenye groups karibu 50+ za Whatsapp hivi huu ni ujanja au ni ulimbukeni? Isije kuwa mie ndio mshamba?!
Kipindi nasoma nakumbukua nilikutana na hii kitu basi nilikua nasimama kwenye pesa tu na leo ndo naelewa ukiwa na pesa kila kitu ni mteremko tu!!! Vipi kwa upande wenu wadau wengine imekaaje?
Tabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe...