Jamen mm nko mombasa,nafanya mziki bt soko la huku liko katika hali mbaya sana.kwa io nimeonelea nifanye mziki njw ya nchi na nimedhamiria nije dar, je kuna yeyote wa kunikaribisha coz cjawahi...
Ukiona hadi leo hii unaishi kwa wazazi au shemeji jua UMEFELI.
ukiona kila dem huku mjini unamuita shemeji ju USHAFELI.
Kila siku unalewa na uachi hela ya mboga nyumbani jua USHAFELI...
Habari wanajamvi, kwanza kabisa nitumie fursa hii kumpa pole ndugu yetu na mtanzania mwenzetu bwana Mohamed Dewji kwa mtihani ulompata, na pia naipa pole familia nzima ya wakina Dewji na...
Oy! Oy! Oyiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Huu ni uwanja special kwa wana wanaofeel hip-hop, kama we nimkali WA freestyle Kama ni mc Una ngoma zako ziangushe hapa wana wazisikie.
Wana wa michano...
Leo ni siku ya pili kuwa jijini Dar na nimekuja kwaajili ya kupata huduma ya matibabu kwenye hospitali ya muhimbili.
Tokea nifike huku dar hio jana nimeshangazwa na hii kitu ase nilikuwa kwenye...
Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti...
Ilikuwa ni jumapili tulivu,isiyo na pilika pilika jijini Da'slam,hakika ilikuwa ni j'pili iliyohitaji sehemu tulivu ili kuondoa msongo wa mawazo na pilika za hapa na pale.
Majira ya mchana,natoka...
'Usukumani' mwanamke ndiye anayeta mali nyumbani (ng'ombe) wakati anachumbiwa na kuolewa, lakini kijana wa kiume hutumia ng'ombe walioletwa na dada yake kwenda kuolea
Mwanamitindo Maarufu MANGE KIMAMBI hatimaye amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo 26/10/2018,
Taalifa zinasema kuwa Mwanamitindo huyo ameingia nchini usiku wa manane kwa kuhofia asije...
Ukweli leo nimekaa na kufikiria na kujiuliza hivi kwanini wanawake wanavaa chupi na je chupi ina kazi gani kwa mwanamkejibu likanishinda.
Pia nikajiuliza kwa upande wa wanaume hivi kwanini wanaume...
Hellow bosess,
huwa napenda kusikiliza redio mida ya kuanzia saa 5 asubuh had 12 ivi jion na saa 4 usiku mpaka 5 ivi
mda wa kipindi cha redio kizuri nachokijua ni BBC saa 12 radio one
mda wingine...
Kutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango...