Nimehamia maeneo ya Ukonga siku si nyingi nikikimbia Tabata nilikokuwa nikiishi.
Kilicho nikimbiza Tabata ni kero ya wanawake pale mtaani, kila mwanamke anataka nilale nae.
Huku Ukonga...
Mdau kutoka humuhumu JF anauliza sababu ya kuwekwa kiti cha plastiki katika baadhi ya guest house.
Anasema huwa anapata tabu sana pale anapopata kuku wa kienyeji akiingia tu hukimbilia kuketi...
Kuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie......
Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio...
Habari za siku nyingine JF
Leo tarehe 11/12 Miaka 26 iliyopita nilizaliwa katika hospitali ya KCMC. Ilikuwa ni siku ya jumatano majira ya usiku saa tatu ndipo nilipoingia kwenye dunia hii...
Makundi ambayo ni Wakala wa Umoja wa Mataifa (UN), yametoa tamko la pamoja kupinga vikali vitendo vya upimaji wa ubikira vinavyofanywa kwa wanawake na wasichana katika nchi zaidi ya 20.
Zoezi la...
The internet/social media is all about interaction. Na one thing it brought ni a false sense of belief kwa watu kuwa wanamjua/elewa mtu kutokana na vitu anavyoviandika au wanavo-interact nae...
Niko kwenye bus narudi zangu home mida hii na nitashuka manzese muda si mrefu,bus zima kimya nikaona ngoja nianze zogo,nikamwomba buku mrembo niliyekaa naye kiti kimoja,majibu aliyonipa ndio haya...
Wadau kuna member humu huwa na michango sana na hufanya jukwaa kuwa zuri sometimes au baya sometimes ila kuna hali fulani ya kusahaulika mapema mno je mada zao wanazochangia zinawafanya wawe...
GIRL> baby wiki ya pili Sasa sijaenda saluni
MWANAUME WA KWELI > nenda ukirudi utanikuta
GIRL> mmh alafu baby kuna mkoba nimeupenda
MWANAUME WA KWELI> endelea kuupenda
GIRL> jomooon basi...
Nimejaribu kuacha kuandika matukio mbali mbali ya maisha niliyopitia lakini nimeshindwa jamani.
Sema na nyie wanajf mna matusi mnakera kweli badala mkae hapa msome viroja mnaanza tena kunishauri...
Wakuu kuna hii information inatrend kwa kitaa yani kwa washikaji na maninja nadhani mtanielewa kuwa hawa manzi/warembo/watoto wazuri/ wanawake wanaoandikia mkono wa kushoto ni hatari sana...