1. Unajifanya una haraka sana kwanini basi hukulala tu huko huko tokea jana?
2. Kama una haraka sana na unataka Kuwahi Kodisha basi Bombadia au Drimulaina Mpuuzi Wewe!
3. Waliowahi sasa wako...
Wiki iliyopita Nikiwa katika shughuli zangu Jijini Dar es salaam napigiwa simu toka nyumbani, ujumbe ni kwamba Mshikaji wangu S Amefaiki (Mungu Amrehemu)
Ni msiba ulionistua sana hasa kwa sababu...
Karibuni wadau katika uzi huu kwa ajili ya kuweka matangazo mbalimbali juu ya huduma, bidhaa au mahitaji yoyote na atakayevutiwa na tangazo lako basi bila shaka mnaweza kumalizana!
Naanza na...
natumaini mu wazima
kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote...
Wale wote mliochukua wafanyakazi wa ndani toka kondoa mnaombwa kuwarudisha wakafanye mtihani wa marudio wa la darasa la saba vinginevyo utakuwa umetorosha mwanafunzi .
Wakuu nawasalimu,
Kuna hiki kitu kinaitwa "Vumbi la Kongo" limeshamiri sana mjini daslam na mikoani as well. Sasa kina Jamaa yangu sijui ni kutaka kukomoa katumia hii kitu lakini sasa hivi...
Habari Humu Jf mimi ni mwenyeji Humu.but nimeamua kuja na new ID kwa sababu mbalimbali....but tuachane na hayo ... Inshort Mimi Nina wanawake 7 na wote nimewaahidi nitawaoa...but had I sasa sijui...
Mambooozzz!!unajua katika maisha waweza pitia mambo mengi kutana na vingi...jf imekua sehemu ya maisha yangu mmepata marafiki humu,maadui humu n.k
Binadamu lazima awe na mapungufu yake kulingana...
Habari wana MMU.
Mada hii ni kwaajili ya viwembe, wapenda nyuchi, ma-playboy, Mafataki, Wakora wa mapenzi na vijana chakaramu. Kupitia uzi huu utaweza kushare uzoefu wa mambo haya ya pinda...
Mambo ya Ajabu Yaliyompata Allan Quatermain na Wenzake.
Leo nitadonoa kidogo Hadithi ya Allan Quatermain, Simulizi za Sir H. Rider Haggard kwenye moja ya simulizi zake zinazo elezea visa vya...
Kuna hili suala la majina yetu. Inafahamika wazi kwamba tunapozaliwa, mara nyingi shughuri ya kwanza kabisa inayofanywa na wazazi au walezi wetu, ni kutupatia majina 'yao' wanaojisikia au/na kuona...
Habari wanajamvi?
Katika mitandao mingi ya kijamii kama JF, FB, TWITER, INSTA na mingineyo mara nyingi watu hutumia majina ambayo si halisi. Hata picha pia ambzo huweka katika plofie zao huwa si...
Habari wana jamvi?
Mchana huu nilipata kausingizi kadogo. Mara kakanijia kandoto katamu sana, nipo maeneo na dada mmoja ambaye ni jirañi yangu tunakula raha. Mzee bila kuchelewa nikaanza kumpapasa...
Jei Efu ni raha sana kama intaneti na bundle lenye salio bila ya kuperuzi mtandao kwenye simu aina ya smartphone iliyo na charge kama ya betri isiishe ukaijaza kisha unasuuukuma ndani wote kabisa...