JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kinahodha: baby Leo nahodha kaniachia kivuko nadrive mimi saa hii. Shori: weeee unachatije huku Unaendesha? Kinahodha: mi jeeembe nimeanza kufundishwa juzi tu si Unanijuaga siku 2 tu nshajua...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jf sisi ni Kama ndugu.niseme tu ukweli Mimi Sina hela Wala Sina ajira lakini natambua siko peke yangu vijana wengi tu humuhumu jf hatuna michongo tunaunga unga tu hivohivo.sasa wakuu wenzetu...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Hili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia. nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
19 Reactions
339 Replies
14K Views
JamiiForum na Punyeto, hizi ni addictions zanazoshika kasi sana ndani ya miaka ya hivi karibuni.Punyeto ilikuwewepo toka enzi lakini hivi sasa hadi wanandoa wanaikung'uta, JF ndo kabisa kuna watu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.Kuna watu wengine sielewi kwanin wanakutumia sms ambayo inahitaji upige namba zao kama mtu unakata kufanikiwa!!?,mafanikio ya kweli ni kufanya kazi kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kila member hapa jf, kuna jukwaa moja analipenda sana yani uki log in tu break ya kwanza ni hilo jukwaa. Mm jukwaa nalo likubali sana hapa jf ni -Jamii photos- na pia kwenye hili jukwaa Thread...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Mfano binafsi sipendi sanaa mdada anayeniita mimi maneno kama "wangu" Utaskia ahsante "wangu" au "My" [emoji35] Tabia nyingine ni ile ya wadada unatongozwa na kijana wa watu unanza ku...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Niko hapa barabarani
5 Reactions
102 Replies
5K Views
Waswahili wanasema tafuta pesa uzitumie na mimi leo baada ya job la wiki nzima nimeona bora nivute chombo moja matata nijilie vyangu, Zero IQ mimi siyo mnywaji wa pombe,siyo mlaji wa misosi...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniongezea umri mwingine, shukran nyingi zaidi zangu ziende kwake kwa kunipa uhai na afya njema neno langu kuu Alhamdulilahi alhamdulilahi...
14 Reactions
166 Replies
6K Views
Wakubwa habari! Jana nimeamua rasmi kuchungulia simu ya mchumba wangu. Aisee kuna jamaa kaseviwa Mjomba Dau, meseji zangu zote za mahaba nzuri nzuri nilizokuwa ninamtumia anazifowadi kwa huyo...
16 Reactions
79 Replies
7K Views
Huu uzi maalum kwa watu wote waliozaliwa Siku hii ya leo tunawaombea kheri na maisha marefu na afya njema, watu wetu wote kwa kuongeza namba ingine MUNGU AWABARIKI SANA SANA.
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Leo ni siku yako mamiiii. Tunakutakia Heri, Baraka na Amani tele katika siku yako hii. Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye Baraka na Mafanikio tele ndani yake. In Shaa Allah. Kwa niaba ya...
15 Reactions
560 Replies
25K Views
Wakuu habari za asubuhi, Iko hivi,wanawake karibu wote,narudia,karibu wote wamekuwa warahisi mno kutuvulia vyupi (na wengi wao pia huvua wenyewe) yaani kwa mfano umepanda daladala ukamtokea...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nunua Super Glue bandika joints zote za toy kisha muachie hapo hata alibamize vipi halivunjiki...problem solved hasa haya matoy ya kichaina chaina
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Kijana Diamond tena katika mashairi ya wimbo wa "Katika"
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana jioni tumemzika jamaa mmoja mtu wa makamu kiasi, nadhani umri wake ni kati ya miaka 55 hadi 59 maana nilisikia kwenye salam za rambirambi kua alikua amebakiza miaka kama miwili astaafu...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
1.Kabla Ya Kuanza Kufungua, Hakikisha Chupa Yenye Shampeni Imehifadhiwa Kwenye Ubaridi Kwa Muda Fulani Kwani Kinywaji Hiki Ni Bora Zaidi Kikinywewa Kikiwa Baridi. Unaweza Usiweke Kwenye Baridi...
9 Reactions
31 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…