JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mpaka mda huu bado nawaza tu Ila akili ikanambia niwashirikishe na nyie ili nipate jibu HIVI TEMBO ANACHUKUA MIAKA MINGAPI KUOZA NA KUBAKI MIFUPA pindi amekufa[emoji58][emoji58][emoji58]...
1 Reactions
4 Replies
641 Views
Habarini za mida wana jf, Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi misita sasa na mke wangu mjamzito...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari ndugu, jamaa na marafiki Nimetukanwa sana kwenye post zilizopita But napoteza coz natambua ndo mambo ya kijamii tunapitia sehem nyng na mambo mengi pia LEO NAWATAMBULISHA MZIGO MPYA KUTOKA...
0 Reactions
4 Replies
579 Views
MndemeImran✍🏿 Awali ya yote naomba kutoa pole zangu kwa Ndgu, jamaa, marafik na wafiwa wote wa Ajali ya Mv. Nyerere.. Taifa kwa ujumla tunaombeleza kwa uchungu msiba huu mzito uliotukuta...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba. Haya tukalala kesho...
12 Reactions
145 Replies
7K Views
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2018. Piga kura kwa member unayeona anafaa tangu tuanze mwaka mpaka sasa napendekeza categories kama ifuatavyo then members unapropose nani anafit kuwa mshindi! 1...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukiona unaanza kummiss X wako tena aliyekuumiza mno sana, chukua Biblia/Qur an usome... huyo ni shetani.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Maze Poleni kwa Msiba wa MV Nyerere wanakijiji wenzangu. Otherwise how is life here in Tanzania treating you guys Wengi tumebadili lifestyle
2 Reactions
16 Replies
1K Views
-Je hy shule ilikua chaguo lako? Kwa maana uliichagua mwenyewe? - ulikua na picha gani kichwani mwako kabla ya kufika hy shule? -ulipelekwa na mzazi/mlezi au ulikomaa mwenyewe? Habari wakuu, ni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms Kuna siku nyingine...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
KAKA ZANGU [emoji1314]Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu DADA ZANGU[emoji1314]Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu..... ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Unatakiwa kuwa smart mwili roho hata vitu vyako Simu zilizopasukapasuka vioo waachie wachimba madini na wagonga mawe Unapata hela ya jinzi unakosa ya kubadilisha kioo cha hiyo techno yako Nitarudi
3 Reactions
23 Replies
2K Views
miaka mingi sana iliyopita sina simu wala sanduku la barua,kuna kabinti nilikutana nako na kikawa nakachovya chovya,nafkiri kalikua katoto ka mpinzani mmoja che mponda kakiitwa mbesile. basi bana...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi wakuu nasikia kibamia kibamia je dushe inakua na sm ngapi ili ikidhi vigezo vya kuitwa kibamia[emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Kuna jirani yangu alikuwa anaumwa sana.. ikabidi amuite mganga wake. mganga akamwambia ugonjwa wake hauwezi kutibika.. njia ni kumrushia huo ugonjwa mtu mwingine.. akaambiwa mtu yeyote...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Huwa ninakereka sana na hili suala, pia linanipa shida kujua hasa lengo la wanawake walio wengi kushupalia kufanya hivi. Wanawake walio wengi wakubwa kwa wadogo, wanatabia ambayo mimi binafsi...
12 Reactions
92 Replies
6K Views
[emoji813] Yupo kwako akitafuta sex.. Tu .. Na kupunguzs stess zake.. Kwa hiyo utatumika kisha unawekwa kando [emoji813]Kama ameweza kumsaliti mke wake.. Asilimia 100%haupo peke yako pia...
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Hakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu. Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu. Nilipofika bariadi ni kisukuma...
2 Reactions
56 Replies
10K Views
True or false?
2 Reactions
2 Replies
817 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…