JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HABARI WANA JF! KWANZA KABISA NINGEPENDA WALE WAZEE WA KUVUTA WIKI NYINGINE ZAIDI BAADA YA KUFUNGUA SHULE TUKUTANE HAPA ILI TUSHARE UZOEFU TULIONAO. →WIKI UNAZOVUTA HUWA UNAFANYA NINI NYUMBANI...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Naam wakati tukiwa ktk maombolezo ya ndugu zetu waliopoteza maisha ktk ajali iliyotokea ktk ziwa victoria ikihusisha kivuko cha MV Nyerere.Mungu azilaze roho za marehem mahala pema peponi Aamiin...
4 Reactions
112 Replies
7K Views
Baada Ya Mishughuliko Ya Siku Nzima, Nimepita, Pic Nic Bar, ( Stress Free Zone) Napiga Mbili Tatu, Old Skool Kwa Mbaali, Nikihudumiwa Na Watoto Waliojazwa Wakajazika, Maisha Muuurua Kabisa...
0 Reactions
2 Replies
439 Views
Kichwa cha mada kinajieleza.
0 Reactions
8 Replies
841 Views
Mambo vp wakuu. Toka juzi natumia jf app hapa nikaona imetoka ile blue yake tulioizoea mpaka black or niseme dark blue. Sasa leo nafungua nakuta imebadirika tena imekuwa hata jina la rangi yenyewe...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
[emoji4]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawatakia wiki end njema membaz wote jf. Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba...
2 Reactions
154 Replies
11K Views
Mambo gani ya msingi unatakiwa ufanye kama classic man?
0 Reactions
4 Replies
528 Views
Tanzania tuna mikoa mingi na kila mkoa una tamaduni zake na historia yake ambayo inavutia.kuna watu ambao tunapenda kusafiri kutalii mikoa hiyo ili kujionea yanayosemwa kuhusu mkoa huo.lakini ipo...
5 Reactions
125 Replies
10K Views
Leo ningeanza na kujibu maswali mawili swali la kwanza nimeulizwa na rafiki yangu kwa jina maarufu mpemba swali lake anau liza T.R.Msigwa kwa nini hutumii un gold? Majibu ya swali lake rafiki...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni mwanamke mkazi wa musoma mjini mwenye umri wa miaka 27 ametishia kujinyonga endapo mume wake ataendelea kulala chumba kingine hata kama ana kitoto kichanga Mwanamke huyo ambaye uzao wake ni wa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ipi ni sababu ya msingi iliyofanya wazazi wetu watudanganye kua eti uume unaitwa DUDU na uke unaitwa KIDONDA? kwanini wasingetuambia tu majina yake halisi, nakumbuka wakati nipo darasa la pili...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
A baby was born and minutes after he began to speak: "I am going to live for only 4 days, my Mother will die in 6 days and my Father will die in 15 days." 4 days later the boy died, after 6 days...
1 Reactions
0 Replies
619 Views
Matatizo ni pale Shangazi yako ameposti picha mtandaoni.. sasa ukataka kuandika "nice pic ukaandika vibayaa. ikasomeka "nice pig "..kibaya zaidi Shangazi yako ni mnene!! my friend jiandae tuu...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimejaribu kukaa na kutafakari nimegundua Kuna changamoto sana kwa wanawake wasomi na wengine baadhi ambao sio wasomi ila wana tabia za ubabe Wanapokua kwenye mahusiano wao ndio wanataka...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Tangu mwaka 1977 Huu ndio mwaka kilichotengenezwa kinywaji bora zaidi duniani Hakika hakuna bia kama safari,bia imeivaa sana itakua inapikwa na mwanamke
2 Reactions
6 Replies
825 Views
Sekunde 40 tumkumbuke Dokta.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Utakuta kijana kamaliza chuo halafu ajira Hana na jamii inatambua kua yeye Ni msomi hivo anaona Ni kijidhalilisha kufanya shughuli za kitaa za tofaut na taaluma yake ili apate pesa Mwisho wa siku...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Abiria wote kutokea Mkoani Mara ( Musoma ) waliokuwemo katika Kivuko cha MV Nyerere kwani inasemekana katika wale Abiria wote waliookolewa hadi hivi...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Juzi Jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye Max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine. Leo asubuhi nilikuwa namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi...
12 Reactions
314 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…