JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mzuqa, Nilipokua field Nyarugusu nikimalizia thesis yangu katika Masters in Geology mida ya jioni nilikuwa najichanganya kitaa kula sambusa za mlenda. Hizi Sambusa zinahitaji utaalam wa hali ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa kuanza tuwaombee dua wanetu, wajukuu zetu, wadogo zetu wanaofanya mitihani yao leo na kesho... Turudi kwenye mada, Nakumbuka siku moja kabla ya mtihani wangu wa darasa la saba tulikwenda...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
najiuliza sana wanawake wengi wanapenda sana kumganda mtu anaemrishisha kitandan (kumkojoza) yan hata ukimkataa na akaenda kuolewa sehem nyingine,then ukamrudia atakubali huo mchezo mfanye ili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kweli Mama nyau hivi majuzi nilikuona uko na vitoto vyako vidogo viwili(vifaranga vya nyau) ulikuwa unavinyonyesha. Na baada ya muda ukaondoka ukaviacha pekeyake, mimi nikajua umevitelekeza...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Wamenitumia code Jana usiku,Leo naingiza naambiwa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Na andika mada hii huku nacheka,leo nimeanza kuchangia mada kulingana na maoni ya watu,yaani baada ya jusoma kichwa habari bila kusoma kilichoandikwa nikaenda moja kwa moja kwenye maoni na...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Siku kama ya leo tarehe na mwezi kama wa leo miaka mingi tu huko nyuma nilizaliwa. Wewe si wewe pekee....ni KILA MMOJA ndani yako. Kuna watu wanaoamini kuwa FULANI ni mwema ama m'baya na...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamaangu anamiliki gari la kunyonya vyoo amenilalamikia watu hawanyi.i kabisa awamu hii kiasi kwamba kwa Siku zamani anapiga trip 7 hadi kumi sasahivi hata 3 hapati,hali mbaya sana
6 Reactions
15 Replies
1K Views
1. Hii ni picha ya aina gani? 2. Eleza aina ya hali ya hewa ya eneo hili? 3. Taja mazao matatu yanayoweza kulimwa kwenye ukanda wenye iyo hali ya hewa? 4. Jadili vitu vitatu unavyoviona kwenye...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari za Jumapili wanajamvi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Huwa najiuliza kuwa kama ikifikia kipindi Tanzania ikauzwa kwa mwekezaji basi makabila yatasajiliwa ulaya kulingana na tamaduni...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Shule za Msingi burudani sana kuna watu kila siku lazima mifuko ya Kaptula au sketi inatuna. Wengine walikua wakija na mahindi ya kukaanga/Ruketo hapa palikua pazuri mwalimu anapiga pindi nyie...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
pleeeeeeeeeeez pleeeeeeeez naombe mniruhusu nikachungulie jukwaa la wakubwa yaliyomo, jana nimesherehekea birthday miaka 18 niliomba mkaniambia sijafikisha nilikua below
2 Reactions
27 Replies
1K Views
kimya kingi kina mshindo,hivi mnavyoniona ndo nimejificha chooni na ka kanokia tochi natuma ka post haka. Nilipata safari ya kikazi bujumbura,sijui shaitwan gani aliniingia nikaenda eneo la...
3 Reactions
92 Replies
7K Views
*Sijawahi Ona Mchungaji Akihubili Kuhusu ile Ramani iliyopo Nyuma ya Biblia* *Nafikili itakuwa Wanatuficha Njia Ya Kwenda Mbinguni*.... Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakubwa! zifuatazo ni ajenda Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. CuxKutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na...
0 Reactions
34 Replies
13K Views
Kama na wewe ni miongoni mwa waliokuwa bored sana sana na sana, naomba utie neno hapa pengine unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao siku yao imeharibika kabisa juu ya hichi kitendo cha jf kuwa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Huyu mwankuga mzee wa kupenda pesa na anapiga suti wiki nzima, braza joji mnamkumbuka? afande maria je huyu alikua analinda bweni la wanaume alafu anabonge la msambwanda, pale mesini muda wa msosi...
0 Reactions
3 Replies
602 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…