Habari wanajamvi samahani mm naomba kuuliza mahali panauzwa flampen za chapati na mandazi na vile vijiko kwa hapa dar. Hasa mahali wanauza kwa bei poa na vipo imara
Sent using Jamii Forums...
Mimi kama Mtanzania nina haki ya kutoa maoni kuhusu mambo yanayoendelea hapa nchini
Nitatoa maoni yangu kuhusu Makontena na Mgambo aliyetoa kipigo
1:KUHUSU MAKONTENA
Kwa mtazamo wangu Mimi...
If una uzoef wowote juu ya hilo au information... Plz tell me
#naongelea PROFESSIONAL VIDEO/MOVIE full equipments na crew
Au km kuna kulipia au kupata vibali,..where am I supposed to go...
Ndio hivyo nina mwaka wa 5 sasa JF am going to be legend ,nakumbuza enzi naanza kuingia JF nilikua na energy ,misuli etc kila Avatar inayovutia ikigonga gonga like,kuni comment au ku quote nilikua...
19+87=
219-45=
12×34=
59÷7=
°°°°
halAfu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, Utajuta:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda chato.Land cruiser VX linatoka chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa...
Wana jf tunaofukuzia pesa kwenye tatu mzuka tukutane hapa lengo Ni kuendelea kutiana moyo,kupeana maujanja Zaid,kutakiana her na kufarijiana.one day yes.nu marufuku kukata tamaa.nawakaribisha...
George au "Big" kama tunavomuita kutokana na umbo lake kubwa ni rafiki yangu japo sio tena kama ule urafiki wa miaka kadhaa iliyopita ambapo hata familia zetu kwa maana ya wake zetu walikua karibu...
Jamaa kila siku annaaamka saa Kumi na mbili kasoro na kwenda gym kutafuta uimara wa mwili....
Akitoka tu Jirani anafungua mlango anazama kuchapua Tonkito...
Anaichapaa hadi saa mbili kasoro afu...
Ni Mada fupi ila tujifunze!
Katika Maisha tunahitaji marafiki zaidi, Marafiki hutupa kampani, hututuoa stress tukiwa pamoja nao, kuna msemo wa kizungu unasema "A Person who has great friends is...
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule...
Binadamu tumeumbiwa hisia fulani ya kuweza kutambua Mambo yajayo, kwa mfano wengine mkono ukiwasha ni dalili ya kupata pesa, mwingine mguu kuwasha ni dalili ya safari, n.k
sasa hapa leo...
Habari wakuu,
Baada ya kumpoteza kimawasiliano aliyekuwa mpenzi wangu hatimaye nimepata mawasiliano yake.
Nipo hapa nam'bembeleza arudi tena kama Zaman lakini naona maneno yote matamu nimekwisha...