Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Natafta mwanamke ambae yupo tayari kuanzisha nae mahusiano ambayo Mungu akijaalia tutaoana maana ndoa inatengenezwa na mahusiano kwanza.
Sifa...
Inasemekana manesi ndio wanawake wasafi zaidi na wenye huruma na kujali waume zao.
Hii inatokana na nature ya kazi yao ambayo ukarimu kwa mgonjwa ndio kipaumbele chao.
Je! Kuna ukweli wowote...
Za mihangaiko jamani,
Samahani kuna maneno niliyowahi kusikia kuhusu vitunguu je yana ukweli wowote.
kama;
1. Vitunguu vinasababisha mtu kuwa mrefu.
2. Vitunguu vinasababisha harufu mbaya...
Ila kuku bhana, akikimbizwa na jogoo, mita mbili tu kachoka , mkimbize wewe sasa mtafanya marathon ya dunia. Kwakweli mapenzi yana run dunia [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakulazimisha kuamini lakini haya nayoongea nimeshaanza kuyatendea kazi
Mungu akinipa Umaarufu - Celebrity nimeshaandika kutekeleza yafuatayo:
1. Kusaidia Jamii kwa asilimia 90
2. Kuwa...
Mko bye bandugu nangai!!?wacha leo niwaelezee hii misingi ya kupata chochote kile kilicho chini ya jua,iwe ardhini au baharini...maana sasa hizi kokoro zimezidi kuwa pasua kichwa. Mtu mzima nataka...
Habari za Siku Ndugu!
Ee Katika biashara hii ya usafiri wa kutumia Motokaa (tax), ni motokaa zipi ambazo huwa zinatumika sana?
Ukizingatia vigezo kama utumiaji Mdogo wa Mafuta na Upatikanaji...
Poleni na Majukumu ya Siku Ndugu zangu WanaJF.
Awali ya yote Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya njema, pia kwa kutujalia kuiona hii siku nyingine takatifu mbele zake!
Karibuni Katika...
Nasikia sana vijana wakisema neno unatafunwa
Swali: kinachoingia ndani. au kinachomuingiza mwenziwe ndani kipi kinatafunwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni)...
This is tanzania
Weka kioja chochote kinachopatikana nchini na mwisho unamalizia na This is Tanzania.
-Takribani lita laki 2 za mataputapu zinanywewa kila mwaka na watanzania na inakadiliwa...
Nisiwachoshe niende kwenye mada kama ifuatavyo:-
Jana mida ya saa moja jioni niko mitaa ya karibu na chuo cha CBE hapa Dodoma
Kuna bar moja napiga zangu bia huku nikiwa na kademu kamoja hivi...
Mke Bwaxx wazeiyaa
(nilivosema wazeiyaa nikakumbuka zile mixtape za Virus za mzee sugu wakat anawaponda Mawingu FM RADIO ya wafu)
Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo ( Simaanishi...