Miaka ya ukoloni 1950s kuja 1980s wazee wetu waliopata scholarship za kusoma nje Mara baada ya masomo walirudi na wake Wa kizungu mfano babake Obama, prof Sarungi na wengineo!
Hata wasanii kama...
Wanajamii
matwins wenzangu!
hakuna jambo zuri kama kuzaliwa twins(identical twins)kurwa na doto.
kweli kuna raha sana kuwa wawili pamoja mkiwa mmezaliwa siku moja mwezi mmoja na mwaka mmoja.
toka...
Tunaomba jeshi LlaPolisi liweke wazi, ili watu watu waweze kujihami kwa unga huo wa upupu (magic powder),
Upupu a.k.a shoti ya umeme wa kienyeji
Ikitokea wezi wa boda boda watawavamia basi...
Mke na mume baada ya kuoana kila mmoja kat yao alikuwa na story ya kumuadisia mwenzie ilikuw hiv;
Mume. "Mm wakat cjaoa nilikuwa natembea na madem wote wanaojiuza"
Mke."ndo maana sura yako sio...
Watu wa Juma Nature
Sonia,Mzee Mwalubadu,Mzee wa Busara, Mtoto Idi kazua balaaa!!.
Mtoto wa Geti Kali wa Inspector Haroun
Sokomoko, Pimbi,Mwindaji Komredi Kipepe, Dokta Love, Ndumilakuwili...
Wadau, embu tuseme uwongo uliovunja rekodi mwaka huu 2017.. Mimi naanza na hizi
1. Tanzania imeagiza kifaa ambacho kikipita karibu na nyumba yenye dawa za kulevya inapiga kelele
2. Tumeokota...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani sana kuishi mkoa wa Tanga especially wilaya yenyewe ya Tanga mjini. Nmewahi kwenda mwaka 2014 na somehow nilivutiwa napo japo sijajua baadhi ya vitu katika...
Wakuu, habari zenu bhana...aisee kuna hii kitu nimejaribu kufanya kautafiti kidogo matokeo yake yananichanganya. Ni hivi, ni kwann mtu akitoa uchafu puani kwa kidole ni lazima aangalie kabla...
UTAFITI KILA MKOA JUU YA WATOTO WAKIKE WANAOJITUNZA,
UTAFITI HUU UMEHUSU WASICHANA WANAOFIKA UMRI WA MIAKA 25 WAKIWA BIKIRA, ( VIRGINITY PERCENTAGE AT 25 YEARS OLD)
KATI YA WATU MIAMOJA WAFUATAO...
#31# ~ Hides Your Number in All Outgoing Calls.
*#06# ~ Show Your Imei Information.
*#*#4636#*#* ~ Shows WiFi Signal, Battery, Statistics Usage & Others Information.
*#*#7780#*#* ~ An Instant...
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la Mashoga sikuizi, ukifatilia chanzo kikubwa ni wadada. Kunajamaa mmoja kaniambia kwamba, yeye alikuwa na dem wake. Sasa yule msichana akawa anamlamba yule...
Habari za humu! Nimeingia town Kampala, huku hatari mazee yaani kila unaepishana nae ni kimini tu. Huku ukimuona mtu kavaa dela anaonekana ni mtz. Kuosha macho utachoka mwenyewe. Picha nimeshindwa...
Hakuna kipindi kigumu kama hiki ambacho majina halali ya wanawake huleta changamoto
Mwanamke hajaolewa hutumia majina ya wazazi wake wa kumzaa lakini anapoolewa hubadilisha hutumia jina la mume...