Mwanamume mmoja nchini Kenya ameshushiwa kipigo na majirani huku mke wake wa ndoa akishangilia
Mwanaume huyo ambaye alikuwa amelewa alianza kumbugudhi mke wake kwa matusi na kelele ambapo...
Wimbi la wabunge kuamia ccm limefika nchini CHINA mbunge wa nchi hiyo nae ameamua kuunga juhudi za Rais mkono kaingia CCM leo tunategemea jina lake kupitishwa kugombea kati ya hapa hapa Tanzania...
Tumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na...
Muda mrefu nimekuwa nikisikia kuhusu wanaume wa Dar es salaam nikawa sielewi elewi ila huyu paka kanisaidia kuelewa kaulimbiu ya "Wanaume wa Dar es salaam Bwana, ...:p!.
heshima kwenu wakuu!
kama ifahamikavo kila mkoa / jiji lazima kuwe na vituo vya daladala kwaajili ya usafiri. Lengo la uzi huu ni kupeana mwanga kwa wale wageni na wasio jua wapi pa kupandia...
Bangi sitoweza kuisahau kwenye maisha yangu sababu ya faida kubwa iliyonipatia na kunisaidia kwenye kufanikisha ndoto zangu .
Wakati nasoma shule sikuwahi kusimama mbele ya darasa na kuzungumza...
He Wallah
Mungu Kanipa Nilichomuomba
MashAllah
Raha,
Na Wala
Si Shriki Huba Tulimenisomba
Nala Nalala
Jamani Rahaa.
Ntakulinda Kwa Kunuti
Nitapiga Na Jihadi
Pendo Liwe Madhubuti
Wasiingie...
Huwa napitia baadhi ya maoni ya wadau kadha wa kadha na kuona ishara ya watu kuwa wapo kwenye mahusiano. Swali je huwa ni ya kweli au mizaha ya kusogeza siku tu... ?
Sent using Jamii Forums...
Aman iwe nanyi wapendwa
Oya wanaume wa dar mnazingua sana aisee
Yaan unachat na dume zima mara linaaza
Jomoniiii
Miseeeew
Waoooooo mara sijui nakojoa mimi
Oya wanaume wa dar achen ukuda...
Habari za wakati huu wana Jf naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimegundua kitu kikubwa sana tangu niifaham Jf ,nmekuwa nkivutiwa na kuelimika na mambo tofauti tofauti ya kimaisha...
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee...
Hii ajali ilitokea juzi maeneo ya kilimanyege. Ilikuwa mbaya sana...si tumefika pale kwenye ajali tulikuta watu wamejaa hasa.
Nlishangaa kweli siku hizi hamna wanaume. Jamaa mmoja analia sana...
Kuna thread ya Mshana Jr inayosema kuwa Kiranga sio atheist ni non-believer inaelekea page ya 50 ikiwa imekwama kwenye neno "akili...".
Kwa upande wangu naona mjadala ule hauna maana yoyote...