JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani mtaani unakokaa huwezi ukakosa kukutana na watu wenye ulemavu hasa walemavu wa akili Kuna wanawake ambao nao ni walemavu wa akili wapo tu hapo mtaani kwako,kulingana na upungufu wa akili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
*Ukimtongoza mwanamke akakwambia ngoja nikafikilie ujue anaenda kugombana na mpnz wake waachane akukubalie wewe🤭🤭🤭🤭🤭 ukiona kmy ujue bado wanagombana na mpnz wake usikate tamaa brother*...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Thanks to my Lord God because without you I'm nothing. Dear my lovely parents I'm still younger, I need your assistance in each step I make into my life. Dear my relatives, brothers and sisters...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Nachek shilawadu hapa nimeamini kweli ukishakua bongo muvi basi hata akili inalala Kuna Mtu sijui anaitwa niva anahojiwa anajibu kama yupo location!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Em chekini wenyewe [emoji23] [emoji23]
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye...
11 Reactions
265 Replies
13K Views
Jana jioni wakati narudi Rock city ndani ya Air Tanzania(hapa kazi tu [emoji23]) nikapewa viburudisho mi nikaona mijuisi ile mizinguo tu nikaomba redwine nikapatiwa ya dodoma wine tukapewa na...
8 Reactions
83 Replies
4K Views
Wiki tatu zilizopita, wanaakiolojia nchini Misri waligundua jeneza kubwa lililoundwa kwa mawe magumu ya matale (granite) ya rangi nyeusi katika mji wa Alexandria. Jeneza hilo lilikuwa limekaa kwa...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ubaguzi ni kitu kibaya sana, Ubaguzi wa aina yoyote ile siyo mzuri: Iko hivi, majuzi nimeenda kwenye Super Market kununua baadhi ya mahitaji sasa wing niliyokuwepo mimi nikakutana na familia...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Dentist
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo kwenye daladala kuna mama alimwambia mwanafunzi ampishe mzee akae. Yule mwanafunzi badala ya kujibu kistaarabu labda mama nimechoka au nnitalipa nauli ya mtu mzima ila alichokifanya ni...
27 Reactions
273 Replies
14K Views
Fatuma Karume Jokate Mwegelo Mosha Kangi Lugola Jpm Ccm Chadema Katiba mpya Nec Chaputa Atheist Bashite
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchaga hata akiwa meneja wa benki ukimuuliza,mr Njau unafanya kazi gani atakujibu"nafanya kibarua pale nmb. sasa kutana na mhaya anayefanya kazi kwenye mashine ya kusaga mahindi,halafu muulize mr...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Ole wako uuze zaidi.... Tutakutana polisi post.... Ila ndio hivyo bei ya dola moja na Lita ya patrol havipishani sana..... Pengine mwakani tutafanya vice versa yani bei ya pombe iwe ndio ya wese...
16 Reactions
193 Replies
14K Views
Sabakheri Wadau; Kama Ushawah Kupata Ajali Mwaga Huku Tukio Lilikuwaje Na Ulipona Vp! NA Umshukuru Mungu! KWANGU MIMI; Ilikuwa 2012 Nikienda Kumuona Mzee Kondoa Dodoma! Tulipofika Kijiji Cha...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Nawapenda sana!
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi. Kichwa cha habari chajieleza. Sikh moja mshkaji alihamia MAENEO flan kikazi . akawa anatoka nyumban anatembea mpaka kazin kwake , na kurudi kama kawaida . sasa siku1 akawa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa alikamata mwizi jikoni kwake, sasa alipo taka kupiga kelele ya mwizi, yule mwizi akamwambia mwenye nyumba unakumbuka katika Biblia nilisema nitakuja kama mwizi Usiku? Ndo nimekuja mara ya...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Sina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie...
17 Reactions
275 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…