Wadau Weekend Imenoga Sana, Kwa Wale Wa A TOWN Lazima Mtakua Mnaijua Picnic Bar, Stress Free Zone, Huku Tukihudumiwa Na Watoto Wakali Wenye "CHURA Za Maana
Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu...
Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui...
Chifu alitaka kujua idadi ya makahaba kwenye kijiji chake.
Makahaba walipokuwa kwenye foleni bibi 1 akapita akamuona mjukuu wake yumo katika foleni,
bibi akauliza..hapa kuna nini?
Mjukuu...
Padri Lucas Mahogha wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mahenge ambaye ni mtunzi wa wimbo wa Nimekukimbilia Bwana Nisiabikie Milele... mwaka huu anatimiza miaka 40 ya upadre. Katika mengi anayokumbuka...
Wale wenye damu mchanganyiko.
Hivi ni changamoto gani mlizowahi kutana nazo katika maisha yenu kutoka na mchanganyiko wa damu ??? Miaka ya nyuma ilikuwa ni tabu sana kupata ajira hapa Tanzania...
Moshi na Arusha vijana wana dharau sana , si wanawake , si wanaume na wala si wazee !
Ukiwa na Passo, ist, Starlet, Porte, Runx, Allex unapata taabu sana. Wanaiita hivyo vigari mara Kobe, mara...
Salam wakuu, kesho nina mpango wa kununua cond*m sasa nafikilia nitamwambiaje muuzaji kwa kutumia lugha rahisi badala ya kumwambia direct nahitaji cond%m,
*MTU ANAPATA WAPI UJASIRI WA KUJINYONGA WAKATI MIMI HATA KUFUNGA TU KIFUNGO CHA JUU CHA SHATI NAOGOPA*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumsifu Yesu Kristu!
Mtu Mmoja Mzee alikuwa akiokota kuni mwituni mtu huyo mzee alionekana kuchoka sana na ugumu wa Maisha.. alilia na kumlaumu sana Mungu kwa ugumu wa Maisha yake, Hata...
Hahahha
Nakumbuka nikiwa na rafiki yangu tukitokea Dar kwenda Karagwe Buƙoɓa tuliamua kufikia guest moja katika mji wa Kahama tukakuta ndani kuna mashuka mapya mazuri na asubuhi tulikuwa...
Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima.
Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa (Bachelor) mpaka siku ya kufa kwake.
Mwenye...
Tulikwenda msibani, katika kuona sura ya mwisho marehemu amenyolewa ndevu vizuri na kuvushwa miwani. Hii ni mara yangu ya kwanza kuona marehemu akiwa na miwani. Kwa tunaimfahamu marehemu alivaa...
I like this joke[emoji38]
*[emoji778]JOKE THAT MAKES SENSE![emoji778]*
An old farmer wrote a letter to his son who is in prison. "Son, this year I will not plant cassava
and yam because I can't...