Wanaume huku kwenye mitandao ya kijamii ni ma"handsome" na wako "smart" sana, ila ukikutana nao nje ya hii mitandao ya kijamii utampa tu Kristo maisha yako.
Utakuta kimwanaume huku kinavimbaa...
Unakuta mtu humu anajifanya mwema kumbe hamna kitu debe tupuu,..
Unaweza kuona mwenzako kaweka thread yake ambayo binafsi ndo alivyo na hajifichi nyuma ya keyboard,,, ili kutaka sifa kama wewe...
Hawa walikuwa ni maswahiba sana kabla ya uswahiba wao kuingiliwa na self interests!
Huwa najiuliza sana kwanini mara zote wawili hawa huvaa pete mbili za ndoa moja mkono wa kushoto kidole cha...
Mm ni mmojawapo niliyekuwa nafatilia kombe la dunia kimya kimya sema hawa wachezaji walinikosha sanaa
N'golo kante
812477
Mbappe
Salah hubby
Huyu Ronaldo na Messy huhuuuu pole yao...
Habali zenu wakuu poleni na kupotezana kwa mda asanteni JF mmeturejeshea huduma.
Kwanza kabisa wakuu natoa pongezi na kumshukuru Mungu nipo hapa Johannesburg mwezi na siku kadhaa nilipata kazi...
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Siku moja nilikuwa gheto na manzi yangu sasa wakati wa malovedavi manzi yangu akajakushtuka kuwa kuna mtu dirishani anatuchungulia tukiwa tunafanya...
yes yes, ni utani tu wa hapa na pale maana maisha yanahitaji tucheke tufurahie pia,
unajua siku moja mdada fulani alikuwa amekaa na jamaa mmoja ndani ya room wanapiga stori, mara ooh jamaa...
Mwanamke umeenda kumtolea mahari kwao ya tshs million 2,.. Ukafanya sherehe ya tshs million 5.
Unakuja kumpa talaka kwa kukuta sms ya tshs 50,.. Hivi hizi ni akili au matope?
Leo baada ya mihangaiko nikataka kupooza kichwa na koo nilipozoea kupata vyupa leo nimekuta bia zimeisha ila imebaki aina moja tu balimi kuuliza bei naambiwa chupa kubwwa buku jero nikajishauri...
Nimekua nikitupia nyavu katika mitandao ya kijamii ili angalau nivue watoto wawili watatu wakuvunja nao mifupa wakati meno ingali ipo, mara nyingi nimefanikiwa mara nyingi pia nimechezea vya mbavu...
Wanaume hivi mna mapepo ya kupenda nanilino!!!:(:(
Wengi wenu mkifika benki akiona anahudumiwa na dada mrembo basi inakuwa tabu atajisemesha humoo, tena kwa sauti na kama kabinti kameingia kwenye...
Jinsi ya kubadili fadhaa/aibu kuwa fursa. Baada ya jana kuaibishwa.
Jana nliandika namna nlivyoaibika huku wanaume wakiacha niabike mpaka kukolewa na mwanamke anayejiheshimu.
Leo nmebadili ile...
Yani mwanaume unatembea mtaani na kibka kabisa.
Bukta zenyewe fupi hadi mapaja yanaonekana.
Sidhani utakuwa mwanaume kamili kwa jamii zetu alafu uvae ki bukta kiko juu ya magoti.