JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jiulize haya yanatutokea kila siku..... LAW OF QUEUE: Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi. LAW OF TELEPHONE: Namba unayopiga kwa makosa daima haipo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwakweli sielewi elewi. Unatakaa ufatilie thread za MTU flani humu. Member. Unakuta kaweka limits.... Huwezi kuona thread zao. Wala kuanzisha conversion. Tatizo nini ? Hata kina Dada. Au mnaogopa...
3 Reactions
76 Replies
3K Views
Kwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu wote humu JF kwa kuzingatia utukufu wa aliyejuu. Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimetoka vijijini nilipokuwa na sasa niko hapa Mwanza town. Katika safari yangu huko vijijini niliona...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Huyu kaka angu simuoni jukwaani mwenye mawasialiano naye mwambieni nimemmiss sana mdogo wakeee.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau huu ni uzi maalumu kwa wana jf yoyote ambaye alishawahi kulimwa ban embu tujuze ulijisikiaje baada ya kugundua uko kifungoni na unamiss mambo moto moto ya JF
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Kiukweli mimi bora nifungwe jela mwaka mmoja siwezi kuolewa na x wangu maana aliniboa kweli kweli. Tena nahisi hata nikikubali kunioa nahisi ningekuwa nimenuna kila siku ndani ya nyumbaa. Hili...
8 Reactions
347 Replies
12K Views
Tunapenda kujuza kwamba, Kuanzia wiki hii tutakuwa Na interviews mbili tu kwa wiki. Kwa siku za jumatatu Na alhamisi Kuanzia saa kumi Na nusu jioni. Ikiwa kutatokea mabadiliko ya Siku tokana...
7 Reactions
83 Replies
4K Views
Leo ni siku ambayo sitoisahau kabisa.. katika shughuli zangu ilitokea nilikuwa nmekutana na watu kadhaa ambao nilikuwa nawafanyia presentation. suruali ambayo nilivaa leo muda flani wakati...
11 Reactions
121 Replies
7K Views
Baada ya jamii forums kuwa suspended kwa mda kidogo nimejikuta kuwa mzito kidogo kuingia jf mara kwa mara tofauti na ilivyokuwa awali nadhani sio mm tu hata members kibao siwaoni wakipost tena...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Naona kwa mbaali nimeanza kupata wapinzani ambao hupoteza mda wao kuja kusoma nyuzi zangu huku wakijaa upepo (povu). Nasema nitashukuru sana wakiongezeka maana mtaniongezea angalau ufaham kidogo...
0 Reactions
12 Replies
790 Views
Ali tuliishi mtaa mmoja wote tukiwa tunaishi kwenye government quarters kutokana na ajira za wazazi wetu. Kwao Ali walizaliwa saba na mama yao alikuwa Mama wa nyumbani tofauti na mama zetu...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
❤ _ Coffee.Code.Sleep.Repeat _ 712
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kulikuwa na Ndege ilikuwa inaanza safari ilivyokuwa Angani mara ghafra ikapata hitilafu, Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125] Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
kutokuvaa mchupi munakuwa wa baridi muno. Mwanamume anakukimbia. Kutokuvaa muchup kunasababisha mupooze kama muchuzi wa biringanya. Eti munafukuza udi muongeze joto. Muvaa mchupi kuongeza joto.
1 Reactions
75 Replies
14K Views
Kwa upande wangu naona bora mara 1000000 kuwa mwanaume wa dar kuliko wa shamba kwa sababu zifuatazo. Dar kuna kila kitu ambacho Mikoani baadhi kupatikana shida. Dar hatulimi ila unachotaka kula...
3 Reactions
73 Replies
4K Views
Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu. Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, mpare na mwanafunzi wa chekechea. Mchungaji akasema yeye anategemewa na...
12 Reactions
19 Replies
3K Views
WADAU HABARI ZA MDA HUU, JE NAWEZA KUPATA MTU WA KUNIFUNDISHA KUTUMIA ADOBE PHOTOSHOP MWANZO MWISHO? AU MAMBO YA KUDIZAIDI VITU MBALIMBALI, KAMA VILE , COVER, WEBSITE, EDITTING PHOTO KWA UFASAHA...
0 Reactions
3 Replies
730 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…