JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani kunahitajika maombi kama taifa kuombea wasanii na watu mashuhuri nchini dhidi ya roho ya kifo inayoendelea kutuandama. Vilevile na majanga yote kwa nchi yetu Hebu oneni wasanii...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF . Katika harakati za maisha nimekutana na wakomoro tunaishi sehem moja sasa ttzo hawajui lugha ya kiswahili wala English hivo sote tunapata tabu ya kuwasiliana. Hivo kwa yoyote...
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Namna ya kubadili rangi kwenye thread na style nyngne nyingi hapa JF. :D:eek::rolleyes::( Tufundishane ujuzi huu Wa kuchange rangi
0 Reactions
7 Replies
849 Views
Heshima kwenu wapendwa. Naleta uzi huu kwa ajili ya kutupia Avatar za members waliomo humu ambapo unaweza kusema kama inakushangaza, inakufurahisha, Inakuvutia etc. Kwa kuanza naanza na hii hapa...
5 Reactions
271 Replies
20K Views
Wadau:mda huu nimetoka kununua UNGO anaejua taratibu za kupaa tafadhari. ... Kama mda husikaa hapo juu kuna safari imetokea ya ghafla na inanibidi nifike sehemu ile mapemaa iwezekanavyoo. Sasa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
[emoji12][emoji12] *KUNA MTOTO AMEZALIWA SAIVI HUKO MBEYA ANAITWA ATUFARANSA MWAKORESHIA* Mwingine nae
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Je ulishawahi kutana na kitu cha kutisha usiki kama mchawi, jini, mnyama basi share na sisi tukio lako hapa. Nianze mimi; Iikua mwaka 2007 nipo na washkaji wawili tumetoka kucheki muvi za usiku...
7 Reactions
104 Replies
14K Views
Vipi katika harakati zako za kusaka demu,na bahati mbaya demu ni rafiki wa Dada ako umewahi kumtuma Dada ako akuunganishe ili umege mzigo? Mi bwana imewahi kunitokea,nikampenda Dada ambaye...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wapendwa wana jf MMU, GTs, PF, Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya...
23 Reactions
501 Replies
25K Views
Ukiona mwanamke ana mimba...?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimepoteza/ kuibiwa sim... Naomba kuelekezwa namna ya kuitrace au kama kuna anayeweza kuitrace tuwasiliane 0652823089
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Unamtumia massage mtu unayempenda '' I love You '' halafu anajibu "Ok''.
1 Reactions
92 Replies
4K Views
Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo: 1. Mshana Jr -Crotia 2. Hajar -Belgium 3. GENTAMYCINE...
16 Reactions
236 Replies
9K Views
Tafadhari Tusipeane stress Pita kuleeee[emoji124] [emoji124] [emoji118] [emoji118] ......
0 Reactions
3 Replies
568 Views
Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity) Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Mabibie na mabuana hellow, Sitaki kuianza hii mada na mbwembe nyingi kwani mpaka hapa nna maumivu.Siku ya Leo nimeogopa sana na kujikuta naanza kuwaonea huruma Dada zetu wanaopigania jasho lao...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Dunia inaenda kasi sana Yaani mwanamke mwenye tako kubwa anajiamini kuliko mwenye digriii
15 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari za Jumapili familia pendwa!!! Kwa ndugu zangu waislamu nawatakia mfungo mwema! Nina uhakika kwa namna moja au nyingine kuna wenzetu wamewahi kukutana na matukio ya kuchekesha wakiwa katika...
50 Reactions
375 Replies
42K Views
Habarini wana jamvi Kutokana Na ushauri Wa wadau ambao kwa kiasi kikubwa unajenga, Tumeona ni vema tukawa Na utaratibu mzuri Wa uendeshaji Wa interview (mkabala) hapa jf. Hii kwa kiasi Fulani...
9 Reactions
1K Replies
42K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…