JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Goood Morning, Habari za asubuhi wapendwa wana JF. Kabla sijajinyanyua kutoka hapa kitandani asubuhi hii ya leo, nimepokea taarifa mbili usiku wa kuamkia leo, taarifa za vifo watu wawili ambapo...
11 Reactions
29 Replies
941 Views
Why smart boy with high IQ most of them like girl with Nyash...? Answers.... Solution According to simple manipulation Let say Brain = A Nyash = B But Brain phenotypically resemble with Nyash...
2 Reactions
26 Replies
711 Views
Hodi Humu ndani!!!! Nawasalimu!!!!!! Leo nimekaa zangu tu, nawaza UPUPUUUU! Hahahaaaaaa! Eti jamani watumia jamvi, nani wa jinsia nyingine anayekuvutia zaidi humu JF kwa mada, fikra, uchangiaji...
9 Reactions
2K Replies
121K Views
Aisee nna janamke la kiluhya mix jaluo. Yaani ugomvi nje nje. Usipotaka ugomvi lazima mpigane ili lipate stimu. Tatizo huku pembele kuna blonde wapole tu. Unakula vitu laini bila fujo. Sasa huyu...
3 Reactions
6 Replies
312 Views
Kuna wanawake makatili sana duniani, mwenzenu naandika uzi huu kwa uchungu sana, leo ilikuwa tarehe ambayo mwanangu angetimiza umri wa mwaka mmoja. Kabla ya kuendelea mbele naomba niwajulishe...
6 Reactions
21 Replies
525 Views
Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
3 Reactions
24 Replies
685 Views
Msaada wenu wadau gari ya kampuni gani nzuri inayofanya safar zake Dar - Bukoba na muda gani gari inafika bukoba
1 Reactions
10 Replies
697 Views
Mzuka JF members! I cant believe what I saw. A flock of eagles flying together and a pack of leopards hunting together. Jiisaaz
4 Reactions
7 Replies
270 Views
Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio. Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni. Komando madafu Miso Misondo Konki master Lizer wa...
1 Reactions
5 Replies
201 Views
Endapo kama mmiliki wa JamiiForums, Tajiri Max angekuwa analipa watunga maudhui unahisi ni mwana JF gani angekuwa Tajiri? Tiririka...
10 Reactions
38 Replies
916 Views
Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
hivi boss akifutwa kazi chawa anakuwa na neno gani la kumpa kutoka kwenye tajiri huna baya, ukifa huozi, tutajenga sanamu lako point X kituo kinachofata huwa na wapi wananzengo
2 Reactions
12 Replies
407 Views
50 cent,Nas,P Diddy.P Diddy anasema kuoa ni kujibebesha majukumu makubwa yasiyo ya lazima. kwa hapa bongo ambao hawajaoa ni Jay mo,ana miaka 41,mchizi moxie,Nikki mbishi [emoji23],p funk...
8 Reactions
219 Replies
21K Views
I)Kama Kuna wi-fi ii)Hubadilishi nguo za kazi iii)kuna breakfast asubuhi Taja sifa zingine za kazi
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa...
16 Reactions
99 Replies
8K Views
Au nasema uwongo ndugu Zangu? Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris...
5 Reactions
18 Replies
672 Views
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi. Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na...
9 Reactions
8 Replies
479 Views
Wadau draft ilo apo wenye uzoefu hiyo king ya blue inaoption ya kula kete tatu izo au inauwezo wa kula izo mbili limenichanganya kwa kweli
2 Reactions
10 Replies
385 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…