Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela...
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?
Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.
Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply...
Ni aibu sana kwa mwanaume mwenye umri kwanzia miaka 25+ kuishi kwa mashemeji,wazazi au wapenzi wenu kwa kisingizio cha kumaliza chuo eti bado huna kazi
Hivi huoni hata aibu mtoto wa kiume...
Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
Hii ni thread maalum kwa akina dada kujua tabia za wanaume wanaotumia mitandao ifuatayo.
VODACOM
~Wanaume wa mkoa huu ndio mtandao wao mkuu. Yaani hapa huwaambii kitu kabisa
~Wanaume wengi...
Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake:
'Baby: kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''
''Okay Baby,gari haina mafuta na sina...
Nakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa...
Wakuu habari za huko uliko.
Kuna hili suala linanipa utata kidogo. Naamini wengi tuna wapenzi au wenza wa maisha. Na wengine ambao wapo solo waliwahi kuwa kwenye mahusiano wakati fulani.
Katika...
Halaaaa Mama Sabrina nimewamiss wanachit chat mjue nini mapenzi tu nakuwa busy na baby sanaa mpaka anapasahau huku ,basi basi toka nimpate G nalala vizurii nimekuwa mwingi wa furaha sana na...