"Goodbye's (The Saddest Word)" Mamma You gave life to me Turned a baby into a lady Mamma All you had to offer Was the promise of a lifetime of love Now I know There is no other Love like a...
Kitu nimekigundua hii JF kuna watu hata wa comment ''ahahahha'' yaani wacheke ama hata kuweka nukta tu kwenye comment zao wanakula like za kutosha.
Namaana gani? like zinatoka kwa kufahamiana na...
Katika tafiti zangu za mtaani kwa Tz nahs kuna vimisemo huwa vinaanzishwa bila kuvifanyia uchunguzi faafu.! Mfano msemo kama huu.
"DUNIA SIMAMA NISHUKE"[emoji3][emoji3]
Yan huu msemo ukiuzngatia...
Ndio Mimi nakula sana kwenye haya mabanda umiza yani sio kwamba napenda sema Nina sababu zangu binafsi.Sasa kama wewe ulikuwa kama Mimi ebu tupe sababu zilizokufanya uache kabisa yaan usitamani...
Jana nimecheka sana sana kwa sababu wadada walikimbiwa na kuachiwa bili baada ya kula na kunywa kama vile hawatakula tena.Walikuja na mwanaume aliyeonekana ana hela hawa wadada walikuwa watatu...
Huyu mchumba wangu tulienda nae kuangalia mpira jana usiku, alikuwa anajitapa sana kuwa sisi madrid lazma tunafungwa. mimi nilikuwa mpole kama nimemwagiwa maji nikisubili mpira uanze...
dk kama...
Watu wenye magari makubwa kama VX V8 na Range Rover wanauziwa property magazine zenye taarifa za apartments na nyumba zinazouzwa.
Watu wenye gari ndogo kama IST, Probox, Vitz, Premio, n.k...
Hakuna kitu kinawauma wanaume kama akuache halafu baada ya miaka kadhaa anakukuta upo kwenye level nyingine kimaisha,
Maisha ni kupambana mpaka Siku moja ex wako aje akuambie "Plz waambie...
Nawakaribisha wafanyakazi wote wa Tanzania kwenye Chama chetu cha kubet
Kwa macho na Masikio yako umesikia mwenyewe kutoka kwa JPM ,hakuna nyongeza mpaka miradi ya umeme na reli na mabarabara...
Kumbe hivi vitu vilitengenezwa kwaajili ya wazungu jamani sisi waafrica hatuviwezi!!
Nilikuwa naelekea ofisi fulani ktkt ya jiji la Dar nilikuwa natoka ground to 8th floor sikujua kuwa ilikwama...
Hatimaye leo nimepata ile offer ya mtumishi from PM na kweli katimiza lengo lake la kunipeleka vacation kwa ajili ya kutoaa stress na kubadilishana mawazo....
To you mtumishi,
Thank you for...
Kuna baadhi ya kauli siku hizi sizisikii kabisa kama hizi.....
Unanijua mimi nani?
Wee kijana hujipendi....
Nenda kashitaki popote pale....
Nitakupoteza naona hunijui.......
Nauwezo wa kukufanya...
-Watu wenye magari makubwa kama VX V8 na Range Rover wanauziwa property magazine zenye taarifa za apartments na nyumba zinazouzwa.
-Watu wenye gari ndogo kama IST, Probox, Vitz, Premio, n.k...
Mimi mara yakwanza sikuamini nilipoona TV halafu unaweka kanda?nilizoea za film mkanda unazungukaaaa sasa kuona kideo ukweli nilikiona mara ya kwanza mwaka 1983 Tena aliletwa General Manager wa...
This morning was listening to a Radio here and presenters humorously suggested that our prominent musician should undergo vasectomy.
By the way Doctors is the Vasectomy safe? this is the point...