Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani...
Wale tuliosomea kijijini, hasa shule ya msingi, uliwahi kuweka punje ya kahawa au Ndorani ili kuuwa soo la Ticha?
Utundu nilianza darasa la Tatu (Kampan za wakubwa mbaya sana.
Sasa bhana tukiwa...
1. Kutema mate ulipokojoa mara baada ya kukojoa.
2. Kujaza upepo mashavuni ili usionekane ulipojificha.
3. Kushika mapu... ili msifungwe (mpirani)
4. Kuchomeka jani kwenye nywele ili mwalimu...
Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Padre ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi:
Padre: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini tatizo...
Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE...
wana Jamii forum ambao tuko nje ya nchi yetu pendwa tukutane hapa tujadili yeyote ya kwetu Tanzania pendwa / kila mtu anakaribishwa / hata ambao wako nyumbani wanaweza changia kuhusu wana diaspora...
Hakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma...
Mimi nilienda UK kusoma in 1991 nilifanya undergraduate kisha nikaendelea na MA huko huko. nimeishi kikazi nchi mbali mbali kama vile UAE, Singapore, South AfricaAustralia, Israel na bila kusahau...
Nawaona kule kwenye jukwaa la siasa wanavyojipa Stress bila sababu ya msingi kila member kule leo anakuja na thread Yenye heading Maandamano.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
Wakati ule amri ilitolewa na mfalme wa jiji kuwaita wote waliotelekezwa pamoja na watoto wao.
Hata walipofika ndani ya praitorio akainuka Bashite akawaambia, amani iwe kwenu enyi wakina mama kwa...
Wanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa
Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii...
Hivi ushawahi kumuota member yeyote wa jf??????????!!!!!!!! Kama sijasahau nadhani Kuna member simkumbuki ninani alitoa uzi ukiuliza hilo binafsi sikuutilia maanani kiviile na leo ndo...
Kwa waislam, ni lazima mtu akifa na nywele za kuunganisha awe mwanamke ama mwanamme ni lazima ziondolewe.
Hata kama ni ndefu lazima zipunguzwe tu.
Vipi kwa wakristo, kwa wale wanaojua watupe elimu