Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,
mwanaume 24/7 yupo active ukipost...
Ule mwendelezo wa Wanachma wa cha mapinduzi kuipenda kilabu ya Yanga inazidi kujidhihirisha, na awamu hii kuna tetesi kuwa billionaire aliyejizolea umaarufu siku za hivi karibuni Dr Luis Shika...
Wanabodi,habari za Jumatatu! Tukiwa tumeianza wiki kuu kwa ajili ya hitimisho la kipindi cha Kwaresma, jana Jumapili( Matawi) nilipigwa na butwaa. Nikiwa mmoja wa waumini niliyehudhuria ibada...
Habarini vijana kwa wakongwe! dimaa @emmyta
Mabibi kwa mabwana! Inna mshipa
Waliooa na bado wapowapo! @Darby saint uvuga
Waliolewa na wenye madanga yao! Numbisa Mama Sabrina
Tumsifu Yesu...
Wengi tunamjua kama maserati, kiukweli ni binti mdogo Mrembo mstarabu mcha Mungu na mwenyewe kiu ya maendeleo zaidi
Leo baada ya kutumia wiki moja hatimaye nimefanikiwa kumshawishi kukubali...
Tokea juz nmekua napigiwa sim na hawa mabint kwa speed ambayo nahis ni sabab ya skukuu...
Hapa nyuma,niliamua kwakwel kuya cancel makoloni yoote sabab niliona hayana tija,..ni bora hzo pesa niwe...
Habari za jioni wakuu...
Hii mada inawagusu dada zangu ambao wanapenda kupiga vimizinga vidogo vidogo ikiwemo kuanzia elfu kumi kuja chini.
Nasema hii hali ikome maana wengine mnatupa shida ya...
Japo maneno hayo hapo juu jana maana nzuri ila kiukweli pombe ukiinywa kistaarabu inaleta faraja sana, kwa mfano mi nikinywa najisikia kumsamehe yeyote aliye nikosea hua naanza kuona kama...
To be Honest i hate teachers labda ni Madam Mmoja Pekee aliyenifundisha shule Moja ya secondary Huko Moshi nilikuwa Nampenda.....Alinitetea na kunijali katika kila hali hata katika ofisi ya...
Nimekaa hapa kibarazani na mbalamwezi hii nikasikia upande wa pili huko kuna watoto wanapigizana kelele
Yanguu,yanguu ....
Nikataka nijue nini hiyo basi nikasogea hadi walipo nikamkamata mmoja...
Salaaam.....
Wakuu katika pita pita zangu katika kwa wataalamu was dini nimekutana na hili..
Eti kwa kuya mtumiaji was muda mrefu wa internet kwa siku kuna pelekea mtumiaji kupata au kukumbwa...
Sultan ni rafik yangu kwa muda mrefu sana yan nimesoma nae chekechea mpaka darasa la 7 nikasomanae sekondar hapo ndio tukatofautiana yeye kaendelea na masomo ya juu mimi nikaingia kwenye mishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.